econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Mbona akina obama, bush hawajafunguliwa kesi? Au uhalifu wa libya na iraq sio uhalifu?
Ndio ujue Putin ni mdogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona akina obama, bush hawajafunguliwa kesi? Au uhalifu wa libya na iraq sio uhalifu?
Walishammaliza kwa kipi, huwajui warusi wewe... Warusi sio wanafiki kama walivyo West ama CCM na Chadema.Huyo walishammaliza. Wameshatoa hati akamatwe, hivyo ni mhalifu. Anaweza kutunguliwa muda wowote.
Aende au waende kumkamata?Ningekuwa Putin ningeenda Ziara nchini Uholanzi!
Unamlinganisha Rais wa Russia na Osama au Saddam?Kweli elimu Bado ni changamoto!
Mi ningekuwa ni Putin ningewahire Wagner group wawadungue hao majaji wa hiyo mahakama mmoja baada ya mwingine
Walishammaliza kwa kipi, huwajui warusi wewe... Warusi sio wanafiki kama walivyo West ama CCM na Chadema.
Wajaribu kumkamata ili WW3 ianze na wajutie maamuzi yao maana kabla hawajamfikia hapo Kremlin huko mahakamani jaji na hilo jengo litakua limeshakuwa majivu.
Wayahudi unawasikia kwenye Radio wewe
Wakichokozwa wana viapo kuwa wako tayari kupigana na chi choosing miaka 200 nonstop sasa hivi wayahudi wa Ukraine wako mwaka wa pili vita na Russia bado miakq 198
Miaka miwili tu Russia ulimi umemtoka kwa kutweta
Vita ndio kwanza iko mwaka wa pili kati ya miaka 200
Take it from me Putin ataondoka kwa kuvurumushwa Mark my words
Team NATO naona wamefurahi sana, hii habari imewatia moyo..hakuna watakachoweza kufanya...
Taasisi kubwa hivi inakuja kutoa hati ya mashitaka mwaka 1 na zaidi baada ya mashambulizi kuanza?
Ikumbukwe tu Putin sio member wa hio mahakama. Sasa sijui huo ujasiri wa kumkamata wanautoa wapi yani.Huwa wanafanya uchunguzi Kwanza hata mwaka mzima. Warrant haitolewi kienyeji.
Hata Putin sasa hivi akiamuwa kwenda Marekani kuudhuria kikao cha umoja wa mataifa hakuna atakaye thubutu kumkamata kama walimshindwa Albashir wa Sudan pamoja na kutembelea mataifa kibao ndo waje wamkamate Putin.
Ikumbukwe tu Putin sio member wa hio mahakama. Sasa sijui huo ujasiri wa kumkamata wanautoa wapi yani.
Hiyo mahakama haina meno na hiyo warant imetolewa kuiridhisha tu Ukraine lakini kiufupi ni ngumu kutekerezeka hata nchi za Magharibi zina jua.
Hata ikitokea akapinduliwa watakao mpindua hawawezi kumpeleka kwenye hiyo mahakama.
Popote atakapopatikana? Hawajui alipo?
Wamfuate pale Kremlin kama wanaweza. Kazi umbea tu. Waliokufa Syria, Afghanistan na Iraq hawakua na maana?
Katika mapigano ya Nuke, anayeanza ndiye mshindi.
Tatizo hawana Meno ya Kumkamata viongozi Kama Putin.
Swala ni nani atakayemkamata,maana nasikia jamaa ni Komando...
US alikua anatafuta uhalali wa kuingilia vita hii sasa ameupata. Lakini wasichokijua ni kwamba, Putin sio mtu wa kutishiwa sana na Kuna kila dalili kwamba atakua radhi kuachia nyuklia kuliko kukamatwa au kushuhudia mwisho wake ukiwa mwepesi.
Movie iendelee, tukumbuke kuweka akiba ya chakula.
Wanatingisha tu mbuyu...
Dunia ya kinafiki sana, nani asiyejua kuwa ICC ni chombo cha US , na vyombo vingine...
Ni wazi dunia inajua unyama uliofanyika Iraq, Syria+ Libya....hujisikia ICC japo kumlaumu BUSH na kwanza Obama kapewa tuzo ya NOBEL.
Binadamu hata asome Vipi....ajiite amestaaribika kivipi..bado .hawezi kuwa adili...
Hasa kama watu hao hawaamini uwepo wa siku ya malipo...
Nani kasema BIDEN, BUSH + OBAMA wataishi mililele....
Hakuna anayependa vita ya UKRAINE3 ila unafiki wa westen block + US ...
.ipo siku tu NUCLEAR itarushwa...kwa mwenendo huu
By nature binadamu hawezegi kuvumilia muda wote ujanja ujanja kuona mtu mmoja anawendesha watu na anapata support tu ya kijinga.....
Hii ICC itabaki kwa wanaofaidika nayo. Na viinchi vya Africa...