Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

Huyo walishammaliza. Wameshatoa hati akamatwe, hivyo ni mhalifu. Anaweza kutunguliwa muda wowote.
Walishammaliza kwa kipi, huwajui warusi wewe... Warusi sio wanafiki kama walivyo West ama CCM na Chadema.

Wajaribu kumkamata ili WW3 ianze na wajutie maamuzi yao maana kabla hawajamfikia hapo Kremlin huko mahakamani jaji na hilo jengo litakua limeshakuwa majivu.
 
Mi ningekuwa ni Putin ningewahire Wagner group wawadungue hao majaji wa hiyo mahakama mmoja baada ya mwingine

Halafu yeye awe salama?. Hao hao Wagner wanaweza mgeuka wakipewa dau kubwa.
 
Walishammaliza kwa kipi, huwajui warusi wewe... Warusi sio wanafiki kama walivyo West ama CCM na Chadema.

Wajaribu kumkamata ili WW3 ianze na wajutie maamuzi yao maana kabla hawajamfikia hapo Kremlin huko mahakamani jaji na hilo jengo litakua limeshakuwa majivu.

Hayo ni maneno tu. Aharibu mahakama ya kimataifa yeye akiwa wapi?. Huyo wameshaanza kumlia timing, hata Ghadafi na Sadam ilianza kiutani ila mwisho wakapotea.
 
Wayahudi unawasikia kwenye Radio wewe

Wakichokozwa wana viapo kuwa wako tayari kupigana na chi choosing miaka 200 nonstop sasa hivi wayahudi wa Ukraine wako mwaka wa pili vita na Russia bado miakq 198

Miaka miwili tu Russia ulimi umemtoka kwa kutweta

Vita ndio kwanza iko mwaka wa pili kati ya miaka 200


Take it from me Putin ataondoka kwa kuvurumushwa Mark my words

Yani Putin alidhani ataichukua Ukraine kwa massaa 72, ila miaka miwili hiyo inaenda.
 
Taasisi kubwa hivi inakuja kutoa hati ya mashitaka mwaka 1 na zaidi baada ya mashambulizi kuanza?
 
Hata Putin sasa hivi akiamuwa kwenda Marekani kuudhuria kikao cha umoja wa mataifa hakuna atakaye thubutu kumkamata kama walimshindwa Albashir wa Sudan pamoja na kutembelea mataifa kibao ndo waje wamkamate Putin.

Bashir Sasa hivi yupo wapi?. Huyo Putin aende New York Basi, mbona hata Crimea anaogopa kukanyaga?.
 
Hiyo mahakama haina meno na hiyo warant imetolewa kuiridhisha tu Ukraine lakini kiufupi ni ngumu kutekerezeka hata nchi za Magharibi zina jua.

Hata ikitokea akapinduliwa watakao mpindua hawawezi kumpeleka kwenye hiyo mahakama.

Nitajie kiongozi yeyote aliyepewa warrant ambaye yupo madarakani au hakukanyaga hapo mahakamani.
 
US alikua anatafuta uhalali wa kuingilia vita hii sasa ameupata. Lakini wasichokijua ni kwamba, Putin sio mtu wa kutishiwa sana na Kuna kila dalili kwamba atakua radhi kuachia nyuklia kuliko kukamatwa au kushuhudia mwisho wake ukiwa mwepesi.

Movie iendelee, tukumbuke kuweka akiba ya chakula.

Kutumia nuclear ni wazo la mwisho, ila Putin tayari wameanza kumdonoa kidogokidogo, na muda sio mrefu watamfikia. Alikosea kuwatumia Wagner group.
 
Wanatingisha tu mbuyu...

Dunia ya kinafiki sana, nani asiyejua kuwa ICC ni chombo cha US , na vyombo vingine...

Ni wazi dunia inajua unyama uliofanyika Iraq, Syria+ Libya....hujisikia ICC japo kumlaumu BUSH na kwanza Obama kapewa tuzo ya NOBEL.

Binadamu hata asome Vipi....ajiite amestaaribika kivipi..bado .hawezi kuwa adili...

Hasa kama watu hao hawaamini uwepo wa siku ya malipo...
Nani kasema BIDEN, BUSH + OBAMA wataishi mililele....

Hakuna anayependa vita ya UKRAINE3 ila unafiki wa westen block + US ...

.ipo siku tu NUCLEAR itarushwa...kwa mwenendo huu

By nature binadamu hawezegi kuvumilia muda wote ujanja ujanja kuona mtu mmoja anawendesha watu na anapata support tu ya kijinga.....

Hii ICC itabaki kwa wanaofaidika nayo. Na viinchi vya Africa...

Mbona US hayupo ICC, na makao ya ICC ni Uholanzi.
 
Back
Top Bottom