Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

Hiyo mahakama imekaa kizushi sana. Toka kuanzishwa wanadai ni viongozi kama 40 wa Kiafrika wamekamatwa, labda na Yugoslavia basi. Hakuna toka Ulaya magharibi!
Bush, Obama, Blair na hata wa toka France walitakiwa wakamatwe.
Undorobo uliojaa ujinga, kupumbazana, ubaguzi na utoto uliopitiliza!
Jamaa wanafikiri the rest the of the world ni wajinga?!
 

Putin kupewa warrant ni doa kwake.
 

Ndio wameanza na Putin, wengine watafuatia.
 
Ishaisha mbina coz 3/4 ya wanajeshi wa ukraine wamegeuzwa mbolea, ana wanajeshi wachache sana, na wanajificha hospitalini, vyuoni, ili wasipigwe huku wakishambulia tokea humo

Urusi kaonesha udhaifu mkubwa alitakiwa kuichukua Ukraine ndani ya siku Saba, ona Sasa amepoteza muda mpaka wamemchapa arrest warrant.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…