Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

Hiyo mahakama imekaa kizushi sana. Toka kuanzishwa wanadai ni viongozi kama 40 wa Kiafrika wamekamatwa, labda na Yugoslavia basi. Hakuna toka Ulaya magharibi!
Bush, Obama, Blair na hata wa toka France walitakiwa wakamatwe.
Undorobo uliojaa ujinga, kupumbazana, ubaguzi na utoto uliopitiliza!
Jamaa wanafikiri the rest the of the world ni wajinga?!
 
Kazi sasa ndio imeanza ukisha wekewa hati ya kukamatwa maana yake huna thamani ktk jamii na Taifa lako. Wachambuzi wa mambo wanasema Putin. Mwenyewe anajuwa siku zake zipo ukingoni kama all Dictator.

Tayari hata watu wake wakaribu wanajuwa sasa hiki ni kimavi na akitoka yeye na sisi lazima tuumie je tuumie wote na Taifa au tumtoe kafara. Bila shaka watamtoa kafara. Let us keep monitoring

Putin kupewa warrant ni doa kwake.
 
Hiyo mahakama imekaa kizushi sana. Toka kuanzishwa wanadai ni viongozi kama 40 wa Kiafrika wamekamatwa, labda na Yugoslavia basi. Hakuna toka Ulaya magharibi!
Bush, Obama, Blair na hata wa toka France walitakiwa wakamatwe.
Undorobo uliojaa ujinga, kupumbazana, ubaguzi na utoto uliopitiliza!
Jamaa wanafikiri the rest the of the world ni wajinga?!

Ndio wameanza na Putin, wengine watafuatia.
 
Ishaisha mbina coz 3/4 ya wanajeshi wa ukraine wamegeuzwa mbolea, ana wanajeshi wachache sana, na wanajificha hospitalini, vyuoni, ili wasipigwe huku wakishambulia tokea humo

Urusi kaonesha udhaifu mkubwa alitakiwa kuichukua Ukraine ndani ya siku Saba, ona Sasa amepoteza muda mpaka wamemchapa arrest warrant.
 
Back
Top Bottom