Mkuu Putin ni kina kirefu hakuna mtu au taifa lolote linalo weza kithubutu kumfanya lolote, kumbuka Russia is still a thermonuclear super power don't you forget that, Taifa lolote au mtu watakao jifanya
kumkamata Putin halijipendi hata kidogo.
Yaani mnaonekana hamna habari kwamba ujinga huo unaweza kabisa kisababisha WW3, kitu kigine kura za maoni nchini Russia zinaonyesha kwamba zaidi ya asilimia 85% zinasupport SMO ya Putin nchini Ukraine , wakati Amerika Biden wanao mkubali hawazidi asili mia 23% tu, halafu hizi adithi za kufikirika eti "kuna kikundi cha inner circle ya Putin wanaotaka kumpindua au kumudhuru" hizo ni propaganda za magharibi za kutaka kufurahisha baraza na wananchi baada ya kuona mpango wao wa kuisambaratisha Urusi kwa kupitia Ukraine umegonga mwamba ie Urusi itashinda vita hii kwa kishindo na kuwaabisha mabeberu na Zelensky mwenye.
La mwisho ni kwamba si Russia wala US ambao ni members wa ICC, je, hao mavuvuzela wanao mnanga Putin hilo hawalijui, au?