Wahenga walisema uzuri wa kanga ni madoa yakePutin kupewa warrant ni doa kwake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahenga walisema uzuri wa kanga ni madoa yakePutin kupewa warrant ni doa kwake.
Hajawahi kuwemoHahaha urusi kashaanza mchakato wa kujitoa kwenye hiyo mahakama uchwara.
Kwani USA na Europe hawana hizo Nuklia ? ajaribu aoneUSA & EUROPEAN are going to be nuked by Putin very soon. Mlioko USA na Europa mjiandae, pia nadhani kuna umuhimu wa kuweka akina ya chakula na fedha. Hali ya dunia inaenda kuchafuka.
Anayetafutwa hana amani tena na baadhi ya nchi atakazotembelea halafu wewe unazungumza vitu vya kijinga.Icc nao wapuuzi tu hawana jipya!! Wana nyavu za kuvua vidagaa tu, big fish hawatawaweza
Hiyo hati kutolewa tu imemfedhehesha mno Putin na Urusi kwa ujumla maana huwa haitolewi hovyo hasa kwa viongozi wa mataifa makubwa ulimwenguni.Tunasubir mwanaume wa kuingia Russia na kumkamata. Kutoa tamko sio shida.
Siku moja putin atapelekwa ICC inatakiwa ss apambane mpk vita hii ya Ukraine ashindeMajaji wa mahakama ya kimataifa (ICC),imetoa hati ya kukamatwa popote atakapopatikana rais wa urusi Vladimir Putin.
=====
Katika uamuzi wake, ICC imemtuhumu Rais wa Russia kuhusika na uhalifu wa kivita kutokana na kufanya uvamizi na kutwaa ardhi Nchini Ukraine ingawa Moscow imesema hatua hiyo haina maana yoyote.
View attachment 2555625
Pia, Hati ya Mahakama ya ICC imeeleza kuwa Rais Vladimir Putin aliagiza mashambulizi yaliyosababisha Watoto kuhamishwa kinyume cha Sheria pamoja na uhamisho usio halali wa Raia kutoka eneo la Ukraine na kuingia Nchini Urusi.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi Maria Zakharova amesema "Maamuzi ya ICC hayana maana kwasababu Urusi haiko kwenye Mkataba wa Roma wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, hivyo haiwajibiki chini yake.
Kwahiyo tukubaliane Marekani anaogopeka kuliko Urusi ambayo imechukuliwa kama nchi masikini?Hii mahakama ya kidwanzi ilishindwa kuwakamata wanajeshi wa marekani kwa uhalifu wa kivita baada ya marekani kuwatishia kuwa itawawekea vikwazo so ni kibogoyo tu haina hata makali.
Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita huwa haoshitaki nchi ni watu binafsi kwa majina yao waliofanya uhalifu wa kivita popote walipo duniani bila kujali wako nchi ambayo ni.mwanachama au Hivyo Putin anasakwa kama Putin sio RussiaUrusi hakuwahi kuwa mwanachama
Hizo story zenu za vijiwe vya kahawa chafu huwa mnajidanganya sana.Ndugu yangu unaandika ukiwa na akili timamu kichwani?? . Putin anaweza kwenda pale London na hakuna wa kumdaka hata mmoja.
Imemshushia hadhi mbele ya hao hao mabeberu!Ila kama lengo ni kumshushia hadhi,basi sawa!Warrant imemshushia hadhi Putin, yupo kundi moja na akina Ruto.
ICC inashughulika na wahalifu wa kivita individual sio nchi.Mhalifu wa kivita binafsi awe wa urusi au USA Mahakama inao uwezo wa kumfungulia mashtaka bila kujali nchi ni mwanachama au laUS na Russia wote sio wanachama wa ICC.
On September 2, 2020, the United States government imposed sanctions on the International Criminal Court (ICC) prosecutor, Fatou Bensouda, and another senior prosecution official, Phakiso Mochochoko. In addition, US Secretary of State Michael Pompeo announced that the United States had restricted the issuance of visas for certain unnamed individuals “involved in the ICC’s efforts to investigate US personnel.”Kuna makosa ukifanya yani jus cogens utadakwa hata Kama sio mwanachama. Refer Al Bashir.
Ruto na Kenyatta walionekana hawana hatiaImemshushia hadhi mbele ya hao hao mabeberu!Ila kama lengo ni kumshushia hadhi,basi sawa!
Ruto aliyeshushiwa hadhi mbona amechaguliwa kuwa Rais wa nchi?Au hadhi ni kurejea west wanavyokuchukulia?
Fikra hizi ni aibu!
ICC ni Kwa ajili ya nchi hohehahe,sio Kwa giants kama Russia,China,US NK!!Hata Rais was Bosnia alisema hivyo, ila mwisho alidakwa. Hakuna aliyepewa hiyo warrant alikimbia, wote walidakwa.
Ungejua kutolewa tu kwa hati hiyo kunavyompoteza mhusika kwenye concentration na kuishi kwa mashaka maana unakuwa huna imani kabisa hata na watu waliokuzunguka.Hahaahahaaaa,Moscow wameiita hiyo warrant ", meaningless"!
Hiyo warrant mpaka Putin anaingia kaburini haitafanya kazi!
Kwasasa inawezekana hakuna kiongozi wa ngazi ya juu duniani anayeishi kwa mashaka makubwa kumzidi mzee Putin.Hahaahahaaaa,Moscow wameiita hiyo warrant ", meaningless"!
Hiyo warrant mpaka Putin anaingia kaburini haitafanya kazi!
Majaji wa mahakama ya kimataifa (ICC),imetoa hati ya kukamatwa popote atakapopatikana rais wa urusi Vladimir Putin.
=====
Katika uamuzi wake, ICC imemtuhumu Rais wa Russia kuhusika na uhalifu wa kivita kutokana na kufanya uvamizi na kutwaa ardhi Nchini Ukraine ingawa Moscow imesema hatua hiyo haina maana yoyote.
View attachment 2555625
Pia, Hati ya Mahakama ya ICC imeeleza kuwa Rais Vladimir Putin aliagiza mashambulizi yaliyosababisha Watoto kuhamishwa kinyume cha Sheria pamoja na uhamisho usio halali wa Raia kutoka eneo la Ukraine na kuingia Nchini Urusi.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi Maria Zakharova amesema "Maamuzi ya ICC hayana maana kwasababu Urusi haiko kwenye Mkataba wa Roma wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, hivyo haiwajibiki chini yake."
Hayo ni Kwa nchi kama Zimbambwe,sio Russia!Ungejua kutolewa tu kwa hati hiyo kunavyompoteza mhusika kwenye concentration na kuishi kwa mashaka maana unakuwa huna imani kabisa hata na watu waliokuzunguka.
Hapo ni kama fursa imepatikana ya wenye nia ya mapinduzi kujua kwamba tukimpindua moja kwa moja anakabidhiwa ICC tofauti na awali ukimpindua mazingira ya kumhifadhi yanakuwa magumu.
Saddam Hussein hakuwa Iraq ndio maana alidakwa,Ghadafi hakuwa libya ndio maana alidakwa na Putin sio Russia ndio maana atadakwaHata akitoka madarakani,hakuna wa kumgusa!Urusi sio Iraq!