Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

USA & EUROPEAN are going to be nuked by Putin very soon. Mlioko USA na Europa mjiandae, pia nadhani kuna umuhimu wa kuweka akina ya chakula na fedha. Hali ya dunia inaenda kuchafuka.
Kwani USA na Europe hawana hizo Nuklia ? ajaribu aone
 
Icc nao wapuuzi tu hawana jipya!! Wana nyavu za kuvua vidagaa tu, big fish hawatawaweza
Anayetafutwa hana amani tena na baadhi ya nchi atakazotembelea halafu wewe unazungumza vitu vya kijinga.

Hiyo hati itatumika muda wote atakaokuwa hai popote atakapotembelea ama ndani ya nchi yake anaweza kukamatwa.

Kuna nchi masnitch unaweza kujua ni marafiki kumbe siyo wakakukabidhi ICC.
 
Tunasubir mwanaume wa kuingia Russia na kumkamata. Kutoa tamko sio shida.
Hiyo hati kutolewa tu imemfedhehesha mno Putin na Urusi kwa ujumla maana huwa haitolewi hovyo hasa kwa viongozi wa mataifa makubwa ulimwenguni.
 
Majaji wa mahakama ya kimataifa (ICC),imetoa hati ya kukamatwa popote atakapopatikana rais wa urusi Vladimir Putin.

=====

Katika uamuzi wake, ICC imemtuhumu Rais wa Russia kuhusika na uhalifu wa kivita kutokana na kufanya uvamizi na kutwaa ardhi Nchini Ukraine ingawa Moscow imesema hatua hiyo haina maana yoyote.

View attachment 2555625

Pia, Hati ya Mahakama ya ICC imeeleza kuwa Rais Vladimir Putin aliagiza mashambulizi yaliyosababisha Watoto kuhamishwa kinyume cha Sheria pamoja na uhamisho usio halali wa Raia kutoka eneo la Ukraine na kuingia Nchini Urusi.

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi Maria Zakharova amesema "Maamuzi ya ICC hayana maana kwasababu Urusi haiko kwenye Mkataba wa Roma wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, hivyo haiwajibiki chini yake.
Siku moja putin atapelekwa ICC inatakiwa ss apambane mpk vita hii ya Ukraine ashinde
 
Hii mahakama ya kidwanzi ilishindwa kuwakamata wanajeshi wa marekani kwa uhalifu wa kivita baada ya marekani kuwatishia kuwa itawawekea vikwazo so ni kibogoyo tu haina hata makali.
Kwahiyo tukubaliane Marekani anaogopeka kuliko Urusi ambayo imechukuliwa kama nchi masikini?
 
Urusi hakuwahi kuwa mwanachama
Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita huwa haoshitaki nchi ni watu binafsi kwa majina yao waliofanya uhalifu wa kivita popote walipo duniani bila kujali wako nchi ambayo ni.mwanachama au Hivyo Putin anasakwa kama Putin sio Russia
 
Ndugu yangu unaandika ukiwa na akili timamu kichwani?? . Putin anaweza kwenda pale London na hakuna wa kumdaka hata mmoja.
Hizo story zenu za vijiwe vya kahawa chafu huwa mnajidanganya sana.

Tangu vita vianze Putin amekuwa akifanya ziara kwa timing sana kuhofia usalama wake halafu wewe mbwiga unasema nini eti?

Hana imani hata na majenerali wake tu sembuse nchi maadui?
 
Warrant imemshushia hadhi Putin, yupo kundi moja na akina Ruto.
Imemshushia hadhi mbele ya hao hao mabeberu!Ila kama lengo ni kumshushia hadhi,basi sawa!
Ruto aliyeshushiwa hadhi mbona amechaguliwa kuwa Rais wa nchi?Au hadhi ni kurejea west wanavyokuchukulia?
Fikra hizi ni aibu!
 
US na Russia wote sio wanachama wa ICC.
ICC inashughulika na wahalifu wa kivita individual sio nchi.Mhalifu wa kivita binafsi awe wa urusi au USA Mahakama inao uwezo wa kumfungulia mashtaka bila kujali nchi ni mwanachama au la
 
Kuna makosa ukifanya yani jus cogens utadakwa hata Kama sio mwanachama. Refer Al Bashir.
On September 2, 2020, the United States government imposed sanctions on the International Criminal Court (ICC) prosecutor, Fatou Bensouda, and another senior prosecution official, Phakiso Mochochoko. In addition, US Secretary of State Michael Pompeo announced that the United States had restricted the issuance of visas for certain unnamed individuals “involved in the ICC’s efforts to investigate US personnel.”

The sanctions on Bensouda and Mochochoko implemented a sweeping executive order issued on June 11, 2020 by President Donald Trump. This order declared a national emergency and authorized asset freezes and family entry bans against ICC officials who were identified as being involved in certain activities. Earlier, the Trump administration had repeatedly threatened action to thwart ICC investigations in Afghanistan and Palestine. In a precursor step, in 2019, the Trump administration revoked the prosecutor’s US visa.

The following questions and answers discuss the Trump administration’s unprecedented authorization of a sanctions program aimed at undermining the work of the ICC.
 
It seems some people don't understand what the arrest warrant for dictator Putin connotes, it's just a matter of time before the world will realize its political implications against the dictator in particular and Russia in general.
 
Imemshushia hadhi mbele ya hao hao mabeberu!Ila kama lengo ni kumshushia hadhi,basi sawa!
Ruto aliyeshushiwa hadhi mbona amechaguliwa kuwa Rais wa nchi?Au hadhi ni kurejea west wanavyokuchukulia?
Fikra hizi ni aibu!
Ruto na Kenyatta walionekana hawana hatia

Ushahidi haukutosha kuwatia hatiani
 
Hata Rais was Bosnia alisema hivyo, ila mwisho alidakwa. Hakuna aliyepewa hiyo warrant alikimbia, wote walidakwa.
ICC ni Kwa ajili ya nchi hohehahe,sio Kwa giants kama Russia,China,US NK!!
 
Hahaahahaaaa,Moscow wameiita hiyo warrant ", meaningless"!
Hiyo warrant mpaka Putin anaingia kaburini haitafanya kazi!
Ungejua kutolewa tu kwa hati hiyo kunavyompoteza mhusika kwenye concentration na kuishi kwa mashaka maana unakuwa huna imani kabisa hata na watu waliokuzunguka.

Hapo ni kama fursa imepatikana ya wenye nia ya mapinduzi kujua kwamba tukimpindua moja kwa moja anakabidhiwa ICC tofauti na awali ukimpindua mazingira ya kumhifadhi yanakuwa magumu.
 
Hahaahahaaaa,Moscow wameiita hiyo warrant ", meaningless"!
Hiyo warrant mpaka Putin anaingia kaburini haitafanya kazi!
Kwasasa inawezekana hakuna kiongozi wa ngazi ya juu duniani anayeishi kwa mashaka makubwa kumzidi mzee Putin.
 
Majaji wa mahakama ya kimataifa (ICC),imetoa hati ya kukamatwa popote atakapopatikana rais wa urusi Vladimir Putin.

=====

Katika uamuzi wake, ICC imemtuhumu Rais wa Russia kuhusika na uhalifu wa kivita kutokana na kufanya uvamizi na kutwaa ardhi Nchini Ukraine ingawa Moscow imesema hatua hiyo haina maana yoyote.

View attachment 2555625

Pia, Hati ya Mahakama ya ICC imeeleza kuwa Rais Vladimir Putin aliagiza mashambulizi yaliyosababisha Watoto kuhamishwa kinyume cha Sheria pamoja na uhamisho usio halali wa Raia kutoka eneo la Ukraine na kuingia Nchini Urusi.

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi Maria Zakharova amesema "Maamuzi ya ICC hayana maana kwasababu Urusi haiko kwenye Mkataba wa Roma wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, hivyo haiwajibiki chini yake."

Move ya kumuua inaanza
 
Ungejua kutolewa tu kwa hati hiyo kunavyompoteza mhusika kwenye concentration na kuishi kwa mashaka maana unakuwa huna imani kabisa hata na watu waliokuzunguka.

Hapo ni kama fursa imepatikana ya wenye nia ya mapinduzi kujua kwamba tukimpindua moja kwa moja anakabidhiwa ICC tofauti na awali ukimpindua mazingira ya kumhifadhi yanakuwa magumu.
Hayo ni Kwa nchi kama Zimbambwe,sio Russia!
We subiri kama tunavyosubiri ujio wa Yesu ambapo hatujui siku Wala saa!
 
Hata akitoka madarakani,hakuna wa kumgusa!Urusi sio Iraq!
Saddam Hussein hakuwa Iraq ndio maana alidakwa,Ghadafi hakuwa libya ndio maana alidakwa na Putin sio Russia ndio maana atadakwa
 
Back
Top Bottom