Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Aliyezini na mwanamke umemwacha umemleta mwanamke tu alafu unamuuliza Yesu tumemkuta akizini na sheria ya musa inatuambia tumpige mawe hadi kufa.mwanaume aliyezini yupo wapi?. Walichokifanya hawa hakuna tofauti na nyinyi. Unataja kuuwa na ujamleta muuwaji Mahakamani. Watenda HAKI WOTE SWALI LETU NI MOJA TU ALIYEUWA YUPO WAPI?. Tunataja MUNGU uku tunamlinda muuwaji. Pole aqwilina rip hukumu ya aliyekuuwa ni leo ila aliyekupiga risasi na kukuuwa wanamlinda asiguswe eti ahusiki. Damu yako ilie mbele za Mungu idai haki ya uhai wako katika mikono ya aliyekuuwa.
Yesu hakuwauliza mwanamme aliyezini naye yuko wapi bali aliwauliza " .....ni nani kati yenu ambaye hajawahi kutenda dhambi?"
 
Psychological torture, kesi za kutengenezwa huwa ni ngumu sana kuzihukumu.Dalili zinaonyesha kuwa Mashinji ataachiwa huru ila hao wengine?
Mambo kama haya ndiyo huanzisha hasira dhidi ya watawala.Tujisahihishe.
Watahukumiwa wanachama wa Chadema, Mashinji alishajivua uanachama hivyo hukumu haimhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aliyesababisha ndiye mwenye kosa kubwa bila kuandamana mbowe na genge lake mauaji yangetoka wapi
Hata yangekua ni maandamano kitu ambacho si sahihi je ni sheria ipi inayomtaka police kutumia risasi za moto kwa waandamanaji wasiokua na silaha ya jadi?
Kuna member hum aliwai sema sio vizuri kubet amani ya nchi,ili ni neno dogo ila lenye maana pana.
Ni matumain yangu mahakama itatenda haki sidhani kwamba chombo hiki muhimu kwetu watz kinaweza pindisha haki
 
Back
Top Bottom