Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Dah wanaenda jela mkuu, tena mbaya zaidi Mbowe kaongezewa na kosa moja zaidi ya wenzake!
 
Ila bulaya bwana akili yake yote alimpaga halima mdee. Yaani ukitaka kumkamata bulaya we mtege tu halima mdee. Bulaya ataingia mzima mzima. Kweli penzi ni upofu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Malisa GJ

Maombi yetu ni juu yenu. Najua watesi wenu wanajua kwamba hamkumuua Aquilina ila Polisi ndio waliomuua. Watesi wenu pia wanajua hamkuanzisha vurugu isipokua polisi ndio walianzisha. Ninyi mlikua mnatembea kwa amani kwenda ofisi za mkurugenzi ili kumuuliza kwanini alikataa kuwaapisha mawakala wa Chadema. Na matembezi yenu yalikua ya amani hadi pale polisi walipoingilia na silaha za moto kusababisha vurugu. Kwa nchi zilizoendelea Polisi ndio walipaswa kushtakiwa si ninyi.

Zipo taarifa kuwa kuna MAAGIZO KUTOKA JUU kuwa ni lazima mfungwe. Msivunjike moyo, hata wakiwafunga haiwezi kuzuia kelele za kudai haki. Mandela alifungwa miaka 27, lakini haikumzuia kudai uhuru wa Afrika kusini kutoka kwa makaburu.

Your pain,
Yet more my pain,
Shall suffocate oppression.

Your blood,
Yet more my blood,
Shall irrigate our victory.!


----------
Up dates
 
Psychological torture, kesi za kutengenezwa huwa ni ngumu sana kuzihukumu.Dalili zinaonyesha kuwa Mashinji ataachiwa huru ila hao wengine?
Mambo kama haya ndiyo huanzisha hasira dhidi ya watawala.Tujisahihishe.
Mashinji naye anaenda ndani!
 
Maneno mazuri ya faraja,tunaomba updates Kamanda.
Makamanda,amen nawaambia,hata wakiwahukumu kifungo,msife mioyo kwa kuwa tupo pamoja nanyi katika maombi ili watesi wenu waone mnavyofanikiwa kuikomboa nchi hii kwa jasho na damu zenu.
Mungu yu Pamona nanyi.
 
Timizeni mlichokusudia kwani wao wanafahamu kila kitu. Wameshajiandaa kisaikolojia. Ila kumbukeni kutunza kumbu kumbu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbiwe akila mvua ndio Mumeo atafanikiwa kukutia Mimba ?

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
Asipotiwa mvua ndio hatamtia mimba?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Asipotiwa mvua ndio hatamtia mimba?

Senti bai yuzingi tecno T301
Inaonekana Mbowe kuwa uraiani inasababisha huyu Dada hanasi Mimba

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Mungu asimamie haki itendeke!

Wakati huu wa Kwaresma tunajikumbusha mengi kuhusu Wanasheria na yule Yuda aliyesaliti PIA Petro aliyekana!
Hebu fafanua; Haki itajulikanaje kuwa imetendeka? Mahakama kila siku huhukumu kwa haki hivyo kitakachohukumiwa pale ni haki tu
 
Tanzania awamu hii tuseme ni bahati mbaya tulichagua kiongozi mkuu mpuuzi,muuaji,dikiteta,hasidi,firauni,mbinafsi,mzandiki,muongo,fisadi ,mwizi,mkabila na mwendawazimu........yote haya tunamuachia mungu!
Hata kama ni chuki mkuu,punguza aina ya maneno ya kuyatumia dhidi ya kiongozi mkuu wa nchi. Ni rais wetu,ni baba,babu. Achana na lugha zisizofaa hata kwa mtu usiyempenda. Kumbuka wote sisi ni binadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikitokea Mwenyekiti kafungwa, Makamu mwenyekiti yuko nje ya nchi hajalikani atarudi lini, Katibu naye akafungwa, Mwenyekiti wa BAWACHA naye akafungwa wajumbe wengine wa Kamati kuu nao wakafungwa hicho chama kitaitisha uchaguzi mkuu au kitaendelea kuwepo bila viongozi wakuu?

Anyway, mimi naamini uwepo wa upinzani unakusaidia Chama Tawala kujirekebisha hivyo sitegemei viongozi wa chama kikuu cha upinzani kufungwa jela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…