Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Hakika Tanzania nchi yangu inapitia kipindi kigumu Sana tangu ipate Uhuru wake mwaka 1961!
Kwamba Sheria na Katiba za nji hii zinapindishwa na Mahakama kumfurahisha mtu mmoja kwa manufaa ya Chama Fulani!

Kwamba Jeshi la Polisi limehusika na MAUAJI ya Raia mwema asie na hatia Bi Acqulina Akwilina (NIT Student)na imethibitika pasipo na Shaka ndani na nje ya Mahakama Polisi wameua. Serikali na Jeshi la Polisi wakashiriki maziko ya marehemu na Serikali kuahidi kuisaidia familia ya Marehemu KUMSOMESHA MDOGO wa marehemu Acqulina!

Lakini Mara baada ya MAZISHI tu unasukwa mpango kabambe wa kuwakomoa Viongozi wa CHADEMA kuwa wao ndio walomwua marehemu!

Kesi inapikwa, mashtaka yanatengezwa, ushahidi wa kughushi unabumbwa na Hukumu inaandaliwa kwa miaka 2 na inatolewa MWAKA WA UCHAGUZI 2020!

WAUAJI MAPOLISI HAWAKULIPA HATA SENTANO WALA KULALA SEGEREA LAKINI VIONGOZI WA CHADEMA AMBAO HAWAKURUSHA HATA KARATASI NDIO WAMETIWA HATIANI KWA MAKOSA 12 KWA KIFUNGO CHA MIEZI 5 KILA KOSA AU FAINI YA TSHS. 350 MILIONI....!!

Huu ni UONEVU,UDIKTETA NA UNYANYASAJI KWA VIONGOZI WOTE WA CHADEMA NA WANACHAMA WAO..!!!

Bado Kuna kikaragosi Fulani kinachekelea na kushangilia kwa uovu huu kwa KUTOA KAULI TETE SANA ZA ATI MAENDELEO HAYANA CHAMA!

Shame on him and let the God Almighty REBUKE this man now and forever

Amen.
 
Roho inakuuma kama pesa za mamako

Sent using Jamii Forums mobile app
We zinakuuma umewahi kuchangia au unadhani tunaochangia hizi hela katupa mama yako ndio roho ikuume mtoto wa kike?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Nyerere alichangiwa wakati wa harakati za kudai uhuru ni kawaida usipate tabu kwa hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanachama, nimeona jinsi munavyopenda viongozi wenu. Binafsi napenda sana CHADEMA, CUF, TLP, ACT wote wawe na nguvu. Siko tayari kuwaona CHADEMA wakichukuwa nguvu zote kama wanavyopenda. Watakuwa kama CCM na kuwazidi CCM maana ubora wa viongozi wa CHADEMA ni zero kabisa! Kelele tu! Huwezi kuwa na viongozi wote wa juu isipokuwa Lissu hawana taaluma yoyote! Chama gani hicho karne hii ya 21?

Pigeni kelele mutakavyo, ukweli unabaki huo. Huwezi kuongoza nchi na watu wa elimu ya kuokoteza. Mifano ya Nyerere, ya miaka ya 50 na 60 ilitosha wakati ule na nchi zote za afrika ilikuwa hivyo. Leo hii nchi zinataka kila mbunge awe na digrii ya kusomea, unatuletea kiongozi kama Mbowe! Anachojua ni kujieleza kwa masikitiko tu!
 
Tangu zamani tunaaminishwa kuwa Mbowe ni mtoto wa kishua aliyerithi utajiri wa kutisha. Tambo zake za kuzalisha wabunge wa viti maalum ni sababu ya kiburi cha pesa..! Lakini leo cha ajabu kwenye hukumu ya kumuuwa Akwilina, Freeman Mbowe amekosa million 70 ya kulipa faini hadi amepelekwa kulala Segerea, huku nyuma akiacha visebengo wa Sacco's yake wakihamasisha wananchi watoe hela zao kumchangia atoke!!!

Kweli Mbowe ni wa kuchangia? Utajiri wake umeenda wapi? Kweli wanachama hawako tayari kuchangia ujenzi wa makao makuu ya chama ila wako tayari kumchangia billionea Mbowe?

Huu utakuwa ni mwendelezo wa usanii wa DJ wa kubadili gia angani na kujifanya masikini ili apige hela za wasiojielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hujitambui na hujielewi....!
Babu yako anayesema nji hii ni DONA KANTRI mbona anatembeza bakuli la kujena SGR na STIEGLER GORGE...?
Pesa ya MAKINIKIA IKO WAPI na ya WAHUJUMU UCHUMI anaowabambika kesi za Utakatishaji Fedha? Tuanzie hapo kwanza!
 
Wanaoratibu ukandamizaji wa haki ya kikatiba kushiriki siasa za vyama vingi wakidhania wanajenga ufuasi kwa chama tawala wameshindwa kwani wametengeneza kundi kubwa linalounga mkono upinzani wa kisiasa kwasababu ya "sympathy" zaidi ya "ideology"
 
Kauli alizosemaga Mbowe ndio kauli za kweli za kiume ambazo watanzania wanatakiwa kuwa hivyo. Inahuzunisha sana watanzania tumekua watu wapole mno tuna huzuni mioyoni lakini hatuwezi kureact
 
Toa upuuzi wako hapa
 
Huna akili
 
Mbowe hana elimu kubwa lakini Ana knowledge kubwa kuliko hao 'Wasomi wa CCM ' ,ana hekima na busara kuliko viongozi wenu Huko 'CCM ' , ni mwanasiasa mahiri kuliko hao 'PhD wawili wanaoongoza CCM ' Anajua lugha ya kiingereza vizuri kuliko 'Mwenyekiti wa CCM taifa ',anajua lugha ya kiingereza ' kuliko Waziri wa elimu ambaye ni profesa '
 
Umeandika nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kiboko, ni ujinga kujifanya mjeuri na muonevu katika dunia hii ya kidigitali. Jeuri yake ina mwisho, na mwisho wenyewe ni Oktoba 2020. Muache ajifanye mbishi.

Mtu ushaona taifa linaangamia, na nchi zilizoendelea zinapiga kelele na kututazama kwa jicho la mwewe, bado unaleta ujeuri wa kijinga. Mpaka machafuko yatokee ndio akili ziwakae sawa CCM.

Tunapoelekea wananchi wanaweza kuchoma na kuharibu ofisi za CCM kila kona ya nchi. Maana raia wamechoka yanayoendelea.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…