Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
COURT REVENUE AUTHORITYNaona serikali ya CCM imegeuza mahakama kuwa chombo cha kukusanya mapato,
HAKI inacheleweshwa ila haipotei. TIME will tell
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
COURT REVENUE AUTHORITYNaona serikali ya CCM imegeuza mahakama kuwa chombo cha kukusanya mapato,
HAKI inacheleweshwa ila haipotei. TIME will tell
Not unexepected. Umesahau yanga na Simba? Hata kama wafungwe wao wamo tu! kumbuka ka ukabila kanavyotusukuma.Masaa 11 replies 930+ what a msg to the authorities
Jr[emoji769]
We zinakuuma umewahi kuchangia au unadhani tunaochangia hizi hela katupa mama yako ndio roho ikuume mtoto wa kike?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Nyerere alichangiwa wakati wa harakati za kudai uhuru ni kawaida usipate tabu kwa hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanachama, nimeona jinsi munavyopenda viongozi wenu. Binafsi napenda sana CHADEMA, CUF, TLP, ACT wote wawe na nguvu. Siko tayari kuwaona CHADEMA wakichukuwa nguvu zote kama wanavyopenda. Watakuwa kama CCM na kuwazidi CCM maana ubora wa viongozi wa CHADEMA ni zero kabisa! Kelele tu! Huwezi kuwa na viongozi wote wa juu isipokuwa Lissu hawana taaluma yoyote! Chama gani hicho karne hii ya 21?Kiongozi analindwa kwa nguvu zote sababu anabeba dhamana ya nchi au kundi analoongoza. Kiongozi mzuri anakuwa ametoa nafsi yake kwa maslahi ya wanaoongozwa au nchi. Ndio maana kote duniani na katika historia, watu wametoa maisha yao kumlinda kiongozi wao.
Tundu Lissu amehatarisha maisha yake kwa kujitokeza kukosoa serikali ya kidhalimu na kikandamizaji kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu. Ndio maana watanzania kwa maelfu walijitokeza kumchangia. Uongozi bora ni janga, usilete mzaha hapa
Tangu zamani tunaaminishwa kuwa Mbowe ni mtoto wa kishua aliyerithi utajiri wa kutisha. Tambo zake za kuzalisha wabunge wa viti maalum ni sababu ya kiburi cha pesa..! Lakini leo cha ajabu kwenye hukumu ya kumuuwa Akwilina, Freeman Mbowe amekosa million 70 ya kulipa faini hadi amepelekwa kulala Segerea , huku nyuma akiacha visebengo wa Sacco's yake wakihamasisha wananchi watoe hela zao kumchangia atoke!!!
Kweli Mbowe ni wa kuchangia ? Utajiri wake umeenda wapi?? Kweli wanachama hawako tayari kuchangia ujenzi wa makao makuu ya chama ila wako tayari kumchangia billionea Mbowe?
Huu utakuwa ni mwendelezo wa usanii wa DJ wa kubadili gia angani na kujifanya masikini ili apige hela za wasiojielewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaoratibu ukandamizaji wa haki ya kikatiba kushiriki siasa za vyama vingi wakidhania wanajenga ufuasi kwa chama tawala wameshindwa kwani wametengeneza kundi kubwa linalounga mkono upinzani wa kisiasa kwasababu ya "sympathy" zaidi ya "ideology"Tangu zamani tunaaminishwa kuwa Mbowe ni mtoto wa kishua aliyerithi utajiri wa kutisha. Tambo zake za kuzalisha wabunge wa viti maalum ni sababu ya kiburi cha pesa..! Lakini leo cha ajabu kwenye hukumu ya kumuuwa Akwilina, Freeman Mbowe amekosa million 70 ya kulipa faini hadi amepelekwa kulala Segerea , huku nyuma akiacha visebengo wa Sacco's yake wakihamasisha wananchi watoe hela zao kumchangia atoke!!!
Kweli Mbowe ni wa kuchangia ? Utajiri wake umeenda wapi?? Kweli wanachama hawako tayari kuchangia ujenzi wa makao makuu ya chama ila wako tayari kumchangia billionea Mbowe?
Huu utakuwa ni mwendelezo wa usanii wa DJ wa kubadili gia angani na kujifanya masikini ili apige hela za wasiojielewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajibebesha mizigo ya kichawi. Roho hii ya kishetani ni lazima ije ikumalize mwenyewe. na familia yako, kama hautatubu na kumrudia MUNGU. Bado hujachelewa.Liwe lisiwe lazima Mbowe ale mvua hapo wengine watapata unafuu kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa upuuzi wako hapaWanachama, nimeona jinsi munavyopenda viongozi wenu. Binafsi napenda sana CHADEMA, CUF, TLP, ACT wote wawe na nguvu. Siko tayari kuwaona CHADEMA wakichukuwa nguvu zote kama wanavyopenda. Watakuwa kama CCM na kuwazidi CCM maana ubora wa viongozi wa CHADEMA ni zero kabisa! Kelele tu! Huwezi kuwa na viongozi wote wa juu isipokuwa Lissu hawana taaluma yoyote! Chama gani hicho karne hii ya 21?
Pigeni kelele mutakavyo, ukweli unabaki huo. Huwezi kuongoza nchi na watu wa elimu ya kuokoteza. Mifano ya Nyerere, ya miaka ya 50 na 60 ilitosha wakati ule na nchi zote za afrika ilikuwa hivyo. Leo hii nchi zinataka kila mbunge awe na digrii ya kusomea, unatuletea kiongozi kama Mbowe! Anachojua ni kujieleza kwa masikitiko tu!
Malipo ni hapa hapaJiwe lina laana!!!
Huna akiliWanachama, nimeona jinsi munavyopenda viongozi wenu. Binafsi napenda sana CHADEMA, CUF, TLP, ACT wote wawe na nguvu. Siko tayari kuwaona CHADEMA wakichukuwa nguvu zote kama wanavyopenda. Watakuwa kama CCM na kuwazidi CCM maana ubora wa viongozi wa CHADEMA ni zero kabisa! Kelele tu! Huwezi kuwa na viongozi wote wa juu isipokuwa Lissu hawana taaluma yoyote! Chama gani hicho karne hii ya 21?
Pigeni kelele mutakavyo, ukweli unabaki huo. Huwezi kuongoza nchi na watu wa elimu ya kuokoteza. Mifano ya Nyerere, ya miaka ya 50 na 60 ilitosha wakati ule na nchi zote za afrika ilikuwa hivyo. Leo hii nchi zinataka kila mbunge awe na digrii ya kusomea, unatuletea kiongozi kama Mbowe! Anachojua ni kujieleza kwa masikitiko tu!
Mbowe hana elimu kubwa lakini Ana knowledge kubwa kuliko hao 'Wasomi wa CCM ' ,ana hekima na busara kuliko viongozi wenu Huko 'CCM ' , ni mwanasiasa mahiri kuliko hao 'PhD wawili wanaoongoza CCM ' Anajua lugha ya kiingereza vizuri kuliko 'Mwenyekiti wa CCM taifa ',anajua lugha ya kiingereza ' kuliko Waziri wa elimu ambaye ni profesa 'Wanachama, nimeona jinsi munavyopenda viongozi wenu. Binafsi napenda sana CHADEMA, CUF, TLP, ACT wote wawe na nguvu. Siko tayari kuwaona CHADEMA wakichukuwa nguvu zote kama wanavyopenda. Watakuwa kama CCM na kuwazidi CCM maana ubora wa viongozi wa CHADEMA ni zero kabisa! Kelele tu! Huwezi kuwa na viongozi wote wa juu isipokuwa Lissu hawana taaluma yoyote! Chama gani hicho karne hii ya 21?
Pigeni kelele mutakavyo, ukweli unabaki huo. Huwezi kuongoza nchi na watu wa elimu ya kuokoteza. Mifano ya Nyerere, ya miaka ya 50 na 60 ilitosha wakati ule na nchi zote za afrika ilikuwa hivyo. Leo hii nchi zinataka kila mbunge awe na digrii ya kusomea, unatuletea kiongozi kama Mbowe! Anachojua ni kujieleza kwa masikitiko tu!
Wanachama, nimeona jinsi munavyopenda viongozi wenu. Binafsi napenda sana CHADEMA, CUF, TLP, ACT wote wawe na nguvu. Siko tayari kuwaona CHADEMA wakichukuwa nguvu zote kama wanavyopenda. Watakuwa kama CCM na kuwazidi CCM maana ubora wa viongozi wa CHADEMA ni zero kabisa! Kelele tu! Huwezi kuwa na viongozi wote wa juu isipokuwa Lissu hawana taaluma yoyote! Chama gani hicho karne hii ya 21?
Pigeni kelele mutakavyo, ukweli unabaki huo. Huwezi kuongoza nchi na watu wa elimu ya kuokoteza. Mifano ya Nyerere, ya miaka ya 50 na 60 ilitosha wakati ule na nchi zote za afrika ilikuwa hivyo. Leo hii nchi zinataka kila mbunge awe na digrii ya kusomea, unatuletea kiongozi kama Mbowe! Anachojua ni kujieleza kwa masikitiko tu!
Sasa mbona mumemtuma kabudi akarambe nyayo word bank si munajiweza nyinyiKila nchi ina utaratibu wake wa kujiendesha watuache na nchi yetu huru