Abdalla mpemba
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 657
- 908
Wacha kumtisha mwenzako serekali ni watu na watu ndio sisi sasa wataka aogope niniJitokeze hadharani , usijifiche nyuma ya kodi
Kuna Watanzania wakishalima vibarua hawana kwa kupeleka posho zao acha wachangie.Waliopigwa fine ni wabunge mshahara mnono malupulupu na wana miaka mingi bungeni eti wanachangiwa jamani mbona aibu mil350 mtu mmoja tu analipa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni uhuru wa kijinga. Ni kama mzazi uanze kuua wanao, majirani wanakusuta, eti unajibu, hii ni familia yangu, nina uhuru wa kuamua namna ya kuwafanya wanagu. You must be really lunatic.Kila nchi ina utaratibu wake wa kujiendesha watuache na nchi yetu huru
weka tafsiri sahihi, km hv wamehukumiwa jela miezi 5 au faini. Mimi siyo mwanasheria lkn nnachojua hata wakilipa faini ni sawa tu wametumikia hiyo miezi 5. Kumbuka hiyo ni faini siyo fidia. Na kwa mfano mbowe awe anajaza form na kwenye form kuna swali kama uliwahi kufungwa na kama jibu ni ndiyo kwa muda gani? Atajaza nini?Tafsiri potofu.
Siyo laana tu, bali pia hatufai kuwa mkuu wa nchi, kwa kuwa yeye ni "sadist" kutokana na kuwa ni mtu anayefurahia kuona watu wengine wanatesekaJiwe lina laana!!!
Mheshimiwa Mbatia alikuwepo mahakama ya Kisutu na alitoa maoni juu ya hukumu ambapo yeye binafsi hakuona busara ya hukumu badala ya kutumia mwafaka wa kisiasa.
Pesa italipwa kisha rufaa itakatwa. High court hainaga ujinga huo labda kwa jaji aliyepatikana kipindi hiki cha praise teamweka tafsiri sahihi, km hv wamehukumiwa jela miezi 5 au faini. Mimi siyo mwanasheria lkn nnachojua hata wakilipa faini ni sawa tu wametumikia hiyo miezi 5. Kumbuka hiyo ni faini siyo fidia. Na kwa mfano mbowe awe anajaza form na kwenye form kuna swali kama uliwahi kufungwa na kama jibu ni ndiyo kwa muda gani? Atajaza nini?
Wanachama, nimeona jinsi munavyopenda viongozi wenu. Binafsi napenda sana CHADEMA, CUF, TLP, ACT wote wawe na nguvu. Siko tayari kuwaona CHADEMA wakichukuwa nguvu zote kama wanavyopenda. Watakuwa kama CCM na kuwazidi CCM maana ubora wa viongozi wa CHADEMA ni zero kabisa! Kelele tu! Huwezi kuwa na viongozi wote wa juu isipokuwa Lissu hawana taaluma yoyote! Chama gani hicho karne hii ya 21?
Pigeni kelele mutakavyo, ukweli unabaki huo. Huwezi kuongoza nchi na watu wa elimu ya kuokoteza. Mifano ya Nyerere, ya miaka ya 50 na 60 ilitosha wakati ule na nchi zote za afrika ilikuwa hivyo. Leo hii nchi zinataka kila mbunge awe na digrii ya kusomea, unatuletea kiongozi kama Mbowe! Anachojua ni kujieleza kwa masikitiko tu!
Hakimu amesema mauaji haikuwa kesi ya msingi.Kama waliompiga wsngekuwa na hatia mahakama isinge waacha huru,,maana mahaka ilisema walikuwa wanatizimiza wajibu wao,so chanzo cha hayo mauaji ni Mbowe Na genge lake
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ukiona mh. Wakiri msomi peter kibatara hajaongea! Na kawaombea kulipa faini! Ujue amejiridhisha na makosa ya midomo yao.
Hii hukumu itakuwa fundisho kwa wenyetabia ya peopless powerrrrr!
Mdomo unaponza.