Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Tafsiri potofu.
weka tafsiri sahihi, km hv wamehukumiwa jela miezi 5 au faini. Mimi siyo mwanasheria lkn nnachojua hata wakilipa faini ni sawa tu wametumikia hiyo miezi 5. Kumbuka hiyo ni faini siyo fidia. Na kwa mfano mbowe awe anajaza form na kwenye form kuna swali kama uliwahi kufungwa na kama jibu ni ndiyo kwa muda gani? Atajaza nini?
 
Mheshimiwa Mbatia alikuwepo mahakama ya Kisutu na alitoa maoni juu ya hukumu ambapo yeye binafsi hakuona busara ya hukumu badala ya kutumia mwafaka wa kisiasa.
 
Etwege,
Nimesoma mpaka ulipoandika "Kwenye hukumu ya kumuua Akwilina Mbowe anatakiwa kulipa Milioni 70" Machozi yakanitoka nikaishia hapo. Hivi wewe ni binadamu kweli? Mbowe ndiye aluyemuua Akwilina? Unajua hakimu alisemaje kuhusu kifo cha yule malaika? Ndugu yangu bora ukae kimya tu.
 
weka tafsiri sahihi, km hv wamehukumiwa jela miezi 5 au faini. Mimi siyo mwanasheria lkn nnachojua hata wakilipa faini ni sawa tu wametumikia hiyo miezi 5. Kumbuka hiyo ni faini siyo fidia. Na kwa mfano mbowe awe anajaza form na kwenye form kuna swali kama uliwahi kufungwa na kama jibu ni ndiyo kwa muda gani? Atajaza nini?
Pesa italipwa kisha rufaa itakatwa. High court hainaga ujinga huo labda kwa jaji aliyepatikana kipindi hiki cha praise team

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuchukue mfano, ccm ina watalaam wengi wamebobea. Nini wamesaidia taifa hili hadi sasa?

Wewe na taaluma yako, nini umesaidia taifa hili?

Kuwa na taaluma ya jambo lolote ni tofauti na kujitambua kwa mtu. Unaweza kuwa na taaluma lkn ukawa hujitambui kabisa.
Wanachama, nimeona jinsi munavyopenda viongozi wenu. Binafsi napenda sana CHADEMA, CUF, TLP, ACT wote wawe na nguvu. Siko tayari kuwaona CHADEMA wakichukuwa nguvu zote kama wanavyopenda. Watakuwa kama CCM na kuwazidi CCM maana ubora wa viongozi wa CHADEMA ni zero kabisa! Kelele tu! Huwezi kuwa na viongozi wote wa juu isipokuwa Lissu hawana taaluma yoyote! Chama gani hicho karne hii ya 21?

Pigeni kelele mutakavyo, ukweli unabaki huo. Huwezi kuongoza nchi na watu wa elimu ya kuokoteza. Mifano ya Nyerere, ya miaka ya 50 na 60 ilitosha wakati ule na nchi zote za afrika ilikuwa hivyo. Leo hii nchi zinataka kila mbunge awe na digrii ya kusomea, unatuletea kiongozi kama Mbowe! Anachojua ni kujieleza kwa masikitiko tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom