mkulima gwakikolo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 1,767
- 2,855
Hata wanazolipwa waunga juhudi zinachezewa tu kama hiziDaah!! Watu wana pesa za kuchezea aiseeh!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zinakuuma eeh pole sana,tumeshachanga tayariWaliopigwa fine ni wabunge mshahara mnono malupulupu na wana miaka mingi bungeni eti wanachangiwa jamani mbona aibu mil350 mtu mmoja tu analipa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa,mfano mzuri mimi hapa Ndondocha wa upinzani wa mileleUsidhani upinzani hamna mandondocha. Mpo wengi tu kama ambavyo walivyo CCM.
Hatuchangii muda tunachangia pesa.Sina muda wa kuchangia wahuni ,matapeli ,wezi na wauaji wakubwa wa Akwilina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wa mitandaoni mnajua kujidanganya sana. Kweli wajinga wali wao.Ni ushahidi tosha kuwa nguvu ya CDM ni kubwa. Kusanyiko la Kisutu na michango inayoendelea ni salamu tosha kuwa panapo uchaguzi huru na wa Haki, hampenyi popote!
Your shooting, is their crime.!!
It describes how deeply happy you are and safe feeling in a poorly grass thatched house
Sent using Jamii Forums mobile app
zimetimia zaidi ya 120,000,000 tumeliwa wapi sasa. si haba hizoWatu wa mitandaoni mnajua kujidanganya sana. Kweli wajinga wali wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
na CHADEMA haitaki walamba viatu vya watawala...baki hukohuko uendelee kuchezewa.Sina muda wa kuchangia wahuni, matapeli, wezi na wauaji wakubwa wa Akwilina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kila hoja unaunga mkono???changia hoja,usikubali kuwa muunga mkono hoja kila mara!I hope to see the products za hoja zako zinazofuatana na uungwaji mkono.Naunga mkono hoja.
P
Not we can, they can! Watanzania tunaamini viongozi wa upinzani ndiyo jukumu lao kuleta haki Tanzania, sisi halituhusu ni watazamaji! Umasikini wa elimu na umasikini wa fikra.Kilichofanywa kwa uwepo wa Maalim Seif, Mbatia na wito wa Zitto kuichangia Chadema ni kitu kizuri, kuonyesha political solidarity, it's only through together ndio we can!.
P
Tunachanga wenyewe! Mpaka asubuhi hii imepatikana m 500. Mtajamba cheche mwaka huu!
Tunaomba link ya hii michango jamaniNi ushahidi tosha kuwa nguvu ya CDM ni kubwa. Kusanyiko la Kisutu na michango inayoendelea ni salamu tosha kuwa panapo uchaguzi huru na wa Haki, hampenyi popote!
Tumchague kwa sifa za knowledge tusiyoijua, kwa kuwa mwanasiasa mahili kwenye tusilolijua, anajua kiingereza mabach hatujawahi kukisikia, kwa kuwa anamzidi Ndalichako....n.k. Hayo hayatoshi boss!Mbowe hana elimu kubwa lakini Ana knowledge kubwa kuliko hao 'Wasomi wa CCM ' ,ana hekima na busara kuliko viongozi wenu Huko 'CCM ' , ni mwanasiasa mahiri kuliko hao 'PhD wawili wanaoongoza CCM ' Anajua lugha ya kiingereza vizuri kuliko 'Mwenyekiti wa CCM taifa ',anajua lugha ya kiingereza ' kuliko Waziri wa elimu ambaye ni profesa '
Tunaomba link ya hii michango jamani
Mbaya wako akija kuhani msiba mpokee usimfukuze kwani unaweza kufukuza rafiki zako ambao ni rafiki zake.