pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Hivi akwilina aliuawa na mapolisi au CDM? hebu uwe unawaza kama mtu mwenye akili japo za std 4.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyekuomba uchangue nano?
Kwa mwenye akili za kihuni kama wewe haishangazi kuandika huu upuuzi!I'm not happy mr because the punishment doesn't collocate with the mistake they did,I wished Mr Mbowe and his colleagues could have been jailed a life sentence
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM wangekuwa ndo wanachanga,hela yote ingekamilika usiku....sitaki shari.
Huwezi kumsemeya mtu ktk moyo wake ungali tupa kumbukumbu kwanza jee tuanzie na lile shambulio la lisu jee aliwahi kumchangia japo shilingi 100Amini usiamini Rais wa wanyonge mwenye huruma na wananchi wake atachangia milion mia yeye peke yake kupitia viongozi wa chadema kuwa huru siku ya leo
Watawala mbona mambo mnayotenda ni tofauti na Elimu mliyo nayo,ni tofauti na utamaduni tulio rithishwa, ni tofauti na yale tunayo hubiriwa misikitini na makanisani? Hii Roho ya kuwanyanyasa Raia na kuwafungulia kesi ambazo hata dhamiri zenu zinajua ni kesi za kubambika mmeitoa wapi?
Jambo la msingi kukumbuka ni kwamba Maisha haya yanapita na mambo yake yote,ni bora kutumia vipawa na mamlaka mliyopewa kutenda haki na siyo kuua dhamiri zenu na kuanza kunyanyasa wenzenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikubwa ni kuwaonyesha umoja wetu na kuwatumia salaam kuwa tukiamu tunawezaWanachi wapenda demokrasia tunawaonyesha jinsi tulivyo na mahaba na wapenda demokrasia,hata wangekuwa matajiri wa kutupwa,sisi tutalipa faini zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mwenye akili za kihuni kama wewe haishangazi kuandika huu upuuzi!
Jeuri ya kulipa kwa sasa imepatikana lakini waambieni viongozi wenu kuwa hawapo juu ya sheria.Thank you God,hizo hela tutalipa
Watu waliandamana kwenda ofisi za huyo lofa wenu mkurugenzi, ni wapi panaonesha walipelekea mauaji ?, hao polisi waliokuwa wmejazana jana pale mahakamani kwa nini hawakutumiwa kuyasindikiza hayo maandamano mpaka ofisi za mkurugenzi na kumuamuru kuwasikiliza waandamanaji ?aliyesababisha ndiye mwenye kosa kubwa bila kuandamana mbowe na genge lake mauaji yangetoka wapi
Unamaanisha ninyi ndio "mlimpoteza" Azory Gwanda? Basi sawa. Vyombo vya dola vimesikia.
Hata wangekuwa hawakusanyi kodi kwa wakwasi waliopo pale wangekamilisha in no time.Umesahau kuwa ccm ndiyo wanao kusanya kodi kutoka kwa watanzania? Just ask for your self how comes within 7 hours tayari zimesha changwa almost 70 million!
No one knows tomorrow.
Hata wangekuwa hawakusanyi kodi kwa wakwasi waliopo pale wangekamilisha in no time.
Jeuri ya kulipa kwa sasa imepatikana lakini waambieni viongozi wenu kuwa hawapo juu ya sheria.
Yote yanayowakuta na sisi tunapovunja sheria yanatukuta pia.
Hakuna chama cha kuaminika hapa tz. Hao chadema initially walikuwa CCM. Zitto mwnyw anaonekana yupo kwa masilahi yake. Ngoja twende kinafiki hivyohivyo.Umesahau kuwa ni kichaka cha watenda maovu?
No one knows tomorrow.
Kwani 2015 haukua huru?Kama unaamini sisiemu wako wengi, waruhusu uchaguzi iwe huru na wa haki tu, watapata majibu.. Wakubali iundwe tume huru ya uchaguzi, ambayo haitaongozwa na mteule wa mgombea wa sisiemu..
Au waache kutumia polisi tu, waone vile wasivyopendwa..
Ahahahaaha! Wanshekya kwakweli! Sikuwahi kujua kama nafahamika Mwanza nzima! Ngoja nijipange nigombee ubunge! Tikwo Nshonzi!?Wewe jamaa na kushangaa sana kwa haya maneno yako ya shobo wakati maisha yako mwenyewe yanakushinda. Hapa mwanza hakuna mtu asiye kujua kuwa wewe ni mzee wa vibomu yaani kuomba omba alafu leo hii unajifanya mfia chama? Insane
No one knows tomorrow.
Ahahahaaha! Wanshekya kwakweli!
Hakuna chama cha kuaminika hapa tz. Hao chadema initially walikuwa CCM. Zitto mwenyewe anaonekana yupo kwa masilahi yake. Ngoja twende kinafiki hivyohivyo.