Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Umesahau kuwa ccm ndiyo wanao kusanya kodi kutoka kwa watanzania? Just ask for your self how comes within 7 hours tayari zimesha changwa almost 70 million!
CCM wangekuwa ndo wanachanga,hela yote ingekamilika usiku....sitaki shari.

No one knows tomorrow.
 
Amini usiamini Rais wa wanyonge mwenye huruma na wananchi wake atachangia milion mia yeye peke yake kupitia viongozi wa chadema kuwa huru siku ya leo
Huwezi kumsemeya mtu ktk moyo wake ungali tupa kumbukumbu kwanza jee tuanzie na lile shambulio la lisu jee aliwahi kumchangia japo shilingi 100

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasahau kuwa hakuna anaye ijua kesho
Watawala mbona mambo mnayotenda ni tofauti na Elimu mliyo nayo,ni tofauti na utamaduni tulio rithishwa, ni tofauti na yale tunayo hubiriwa misikitini na makanisani? Hii Roho ya kuwanyanyasa Raia na kuwafungulia kesi ambazo hata dhamiri zenu zinajua ni kesi za kubambika mmeitoa wapi?

Jambo la msingi kukumbuka ni kwamba Maisha haya yanapita na mambo yake yote,ni bora kutumia vipawa na mamlaka mliyopewa kutenda haki na siyo kuua dhamiri zenu na kuanza kunyanyasa wenzenu.

Sent using Jamii Forums mobile app

No one knows tomorrow.
 
aliyesababisha ndiye mwenye kosa kubwa bila kuandamana mbowe na genge lake mauaji yangetoka wapi
Watu waliandamana kwenda ofisi za huyo lofa wenu mkurugenzi, ni wapi panaonesha walipelekea mauaji ?, hao polisi waliokuwa wmejazana jana pale mahakamani kwa nini hawakutumiwa kuyasindikiza hayo maandamano mpaka ofisi za mkurugenzi na kumuamuru kuwasikiliza waandamanaji ?
 
Wewe jamaa na kushangaa sana kwa haya maneno yako ya shobo wakati maisha yako mwenyewe yanakushinda. Hapa mwanza hakuna mtu asiye kujua kuwa wewe ni mzee wa vibomu yaani kuomba omba alafu leo hii unajifanya mfia chama? Insane
Unamaanisha ninyi ndio "mlimpoteza" Azory Gwanda? Basi sawa. Vyombo vya dola vimesikia.

No one knows tomorrow.
 
Umesahau kuwa ccm ndiyo wanao kusanya kodi kutoka kwa watanzania? Just ask for your self how comes within 7 hours tayari zimesha changwa almost 70 million!

No one knows tomorrow.
Hata wangekuwa hawakusanyi kodi kwa wakwasi waliopo pale wangekamilisha in no time.
 
Tunacho shukuru ni kuwa sasa mmepata ujumbe kuwa watanzania wamechoshwa na ccm na hawaipendi kabisa.

Yaani pamoja na hali ya uchumi wa mwanachi wa kawaida kuwa mbaya lkn wamejikongoja na hata wengine kukopa ili kuchangia!

I'm sure 100% that this is fantastic lesson to you guys
Jeuri ya kulipa kwa sasa imepatikana lakini waambieni viongozi wenu kuwa hawapo juu ya sheria.
Yote yanayowakuta na sisi tunapovunja sheria yanatukuta pia.

No one knows tomorrow.
 
Umesahau kuwa ni kichaka cha watenda maovu?

No one knows tomorrow.
Hakuna chama cha kuaminika hapa tz. Hao chadema initially walikuwa CCM. Zitto mwnyw anaonekana yupo kwa masilahi yake. Ngoja twende kinafiki hivyohivyo.
 
Wewe jamaa na kushangaa sana kwa haya maneno yako ya shobo wakati maisha yako mwenyewe yanakushinda. Hapa mwanza hakuna mtu asiye kujua kuwa wewe ni mzee wa vibomu yaani kuomba omba alafu leo hii unajifanya mfia chama? Insane

No one knows tomorrow.
Ahahahaaha! Wanshekya kwakweli! Sikuwahi kujua kama nafahamika Mwanza nzima! Ngoja nijipange nigombee ubunge! Tikwo Nshonzi!?
 
Back
Top Bottom