Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

I bet hamna hukumu mbaya itatolewa kwa upande wa walalamikiwa,
kwanza ni mwaka wa mavuno-mwaka wenye kugawanyika kwa 2
Pili Hofu ya uchaguzi-hapa kila kitu huenda free!!(let it be jamani)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama ni chuki mkuu,punguza aina ya maneno ya kuyatumia dhidi ya kiongozi mkuu wa nchi. Ni rais wetu,ni baba,babu. Achana na lugha zisizofaa hata kwa mtu usiyempenda. Kumbuka wote sisi ni binadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app

kwa nini unakuwa mpuuzi?ni wapi ametajwa rais wa nchi?usipotoshe watu kwa sababu ya uelewa wako mdogo....hata huyo Freeman Mbowe ni kiongozi mkuu wa nchi kupitia CHADEMA....acha ulimbukeni!!!
 
Itakumbukwa kuwa leo ndio leo. Je, kurudi CCM itampa nafuu Katibu Mkuu wa Zamani wa CADEMA katika hukumu inayotarajiwa kusomwa punde? Tusubiri maana muda ni mwalimu mzuri.

NB: Kuna mdau mmoja kanitonya kuwa hukumu hiyo leo inaweza kuahirishwa kwa sababu za kimkakati.
 
Video: Kamanda Mbowe akitinga ndani ya Mahakama, msisimko ni mkubwa sana
 

Attachments

  • Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTz akiwasili katika viun ( 422 X 750 ).mp4
    5.5 MB
Tumkemee shetani asiende kutamalaki ktk eneo lile BALI Mwenyezi Mungu akatie mkono wake hata kama Hakimu ana 'maagizo' akosome kinyume na maagizo hayo.
 
Mashinji hata kama atafungwa lakini hatoishi gerezani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…