Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mbowe na wenzake wanahela ya kujitoa bila kuchangiwa wanaumiza watu wanyonge eti wawachangie!
 
Hukumu ya jana iliyosomwa na Mheshimiwa Hakimu Simba imezua sitofahamu baina ya pande mbili za wananchi wenye uelewa tofauti. Wengine wanasema uwepo wa Dr Mashinji ndani ya CCM umeleta matokeo ya hukumu; upande mwingine unaamini mahakama imefanya kazi yake kwa uhuru. Kila mtu na mtazamo wake; WEWE JE?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeuri ya kulipa kwa sasa imepatikana lakini waambieni viongozi wenu kuwa hawapo juu ya sheria.
Yote yanayowakuta na sisi tunapovunja sheria yanatukuta pia.
Sijaona kesi ya uchochezi kwa viongozi wa ccm wanaohamasisha kupigwa au kuuwawa kwa wapinzani fulani,sheria sio msumeno!
 
kapongoliso,
Hivyo vyote hutapata CCM , Chadema wala ACT. Mungu akupe uhai mrefu ushuhudie CCM ikitoka madarakani na ushuhudie umaskini ukiendelea chini ya chama kingine.
 
Kolaba oli Mwanza ngambila nkunyegeze Diamond onywe, olye, obwagale!
Ebu nijikumbushe lugha hii kama bado nipo vizuri ama nimeanza kusahau. Ha ha haaa!
====
Inywe kiki eki eky' akalibaatano oku muleegile enkumanya n' empigiza! Mwagoba n' akutaagulirana ebeebo n' olufufu, niyo ntwaaza yaanyu egi!?
 
Sijaona kesi ya uchochezi kwa viongozi wa ccm wanaohamasisha kupigwa au kuuwawa kwa wapinzani fulani,sheria sio msumeno!
Hivi hadi sasa hujaona tatizo ni lipi hapa??
Sijui ulikuwa wapi siku ile lakini unaweza kuwauliza waliokuwepo humu jamvini kuhusu kauli za viongozi wetu waliyoitoa siku ile. Ninahisi kauli zile zilikuwa kama mafuta ya petroli ambayo yalikosa kiwashio na hewa ya oxygen.
 
Kauli za akina nani?
 
Jamaaniii toenii hatawalee mashangazii ndanii wasiaribuu ndoaa zaoo

CCM BABA LAO MKUBWA DK MASHINJI YUKO NJE
 
Kauli za akina nani?
Kama huwajui na hufahamu kilichotokea siku hiyo basi hauna haja ya kuuliza. Ila unaweza kwenda kwenye archive ya magazeti yetu karibu yote utakuta habari hiyo pamoja na wahusika.
 
Huku mambo yanazidi kunoga yaani masaa 24 tayari zimekusanywa milioni 234.wacha kabisa wacha kabisa wacha kabisa utaumia
Kolaba oli Mwanza ngambila nkunyegeze Diamond onywe, olye, obwagale!

No one knows tomorrow.
 
Hizo sasa yaani within 24 hours tayari 234 million tushachanga kuwalipia wapigania uhuru wetu.

No one knows tomorrow.
 
Kama huwajui na hufahamu kilichotokea siku hiyo basi hauna haja ya kuuliza. Ila unaweza kwenda kwenye archive ya magazeti yetu karibu yote utakuta habari hiyo pamoja na wahusika.
Mambo ni mengi?Unazungumzia waliyosema viongozi wa CCM juu ya kuwapiga na kuwauwa wapinzani au unazungumzia kauli za akina Mbowe siku wanaandamana kwenda tume ya uchaguzi?
 
Mambo ni mengi?Unazungumzia waliyosema viongozi wa CCM juu ya kuwapiga na kuwauwa wapinzani au unazungumzia kauli za akina Mbowe siku wanaandamana kwenda tume ya uchaguzi?
Hilo ndiyo tatizo jingine ambalo wengi wenu mnalo. Naomba tujikite kwenye issue na baada ya hapo tunaweza kuzungumzia nyingine. Kwenye hili kaka hukuwepo. Hivi unafahamu kuwa maduka yote yalifungwa wakati wa vurugu zile? Hakuna kitu kibaya kamba kujitia upofu wakati tuna macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…