Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

CCM wangekuwa ndo wanachanga, hela yote ingekamilika usiku....sitaki shari.
 
Watawala mbona mambo mnayotenda ni tofauti na Elimu mliyo nayo,ni tofauti na utamaduni tulio rithishwa, ni tofauti na yale tunayo hubiriwa misikitini na makanisani? Hii Roho ya kuwanyanyasa Raia na kuwafungulia kesi ambazo hata dhamiri zenu zinajua ni kesi za kubambika mmeitoa wapi?

Jambo la msingi kukumbuka ni kwamba Maisha haya yanapita na mambo yake yote,ni bora kutumia vipawa na mamlaka mliyopewa kutenda haki na siyo kuua dhamiri zenu na kuanza kunyanyasa wenzenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ushamba, wendawazimu na kutegemea ushauri wa washamba na wauaji wenzie kina Bashite!

Lkn pia, kwa tabia zake za kuamua kwanza kisha kutaka ushauri! Matokeo yake ndio haya, alichotegemea kitawaumiza asiowapenda, kimeongeza hamasa ya kuwaunga mkono, huku yeye akionekana dhahiri ni Dikteta asiependwa kabisa na wananchi wake!

Shwain
Sina muda wa kuchangia wahuni, matapeli, wezi na wauaji wakubwa wa Akwilina.



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom