Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Itifaki imezingatiwa!
Kwanza hongera mkulu wa nchi kwa kuyashughulikia haya majizi ya nchi hii, yenyewe ndiyo yanalizamisha taifa hili kiuchumi, "hongera"
Jana ilishuhudiwa mapapa ya "Escrow" yakipandishwa kizimbani "Rugemalila" na "Sethi", ilikuwa ni mahakama ya hakimu mkazi "Kisutu" kama ilivyozoeleka kwa kesi kubwa na nzito husikilizwa hapo
Sasa nimejiuliza bila ya majawabu, kwa taarifa tu za awali iliwahi ripotiwa kwamba mahakama ya mafisadi "wahujumu" uchumi imeundwa na teyari ipo inasubili kesi, lakini ilionekana ikikosa kesi za kushughulikia, je hushughulika na kesi za kifisadi za namna gani kama sio hizi za akina Rugemalila ?
ESCRO ni ufisadi, na ilitegemewa sasa ile mahakama inasemekana ilianzishwa na rais iwe inahusika na kesi hizi kwa ufanisi zaidi
lakini kesi hii imepelekwa kisutu, Mahakama ya mafisadi iko wapi?
na inajishughulisha na kesi za aina gani