Hahaha mnasahau sana, Dr.Harrison Mwakyembe alikuwa mpinzani wa Lowasa tangu bunge la Sitta, kumbukeni Liwassa akuwa waziri mkuu Dr.Mwakyembe aliishupalia hoja ya Richmond ikamng'oa Lowasa jwenye uwaziri mkuu, sasa akiwa mpinzani wa Lowassa alimshawishi Magufuli afungue mahakama ya mafisadi kama ilivyo mahakama ya Biashara. Magufuli akampa wizara ya sheria na katiba na mwakwembe akaiasisi mahakama hii. Sasa hawana wa kumshitaki kwasababu mafisadi yako ccm, na Dr.Slaa anayafahamu lakini naye yuko ccm. Unadhani watamshitaki nani wamuache nani?! Kashifa zote ziko kwao, Green, meremeta, EPA, Tegeta escrow, sukita, ma hata Richmond.
Mwakyembe hata yeye akiulizwa leo mantiki ya uanzishwaji wa mahakama hiyo na uhaba wa washitakiwa anaweza kuomba ifutwe. Kwasababu alimtargert Lowassa tu, sasa yuko kwao jiulize mahakama inamaana gani ikiwa hashitakiwi na hakyshitakiwa wamebaki kuokiteza watuhumiwa na wanashindwa kuwatia hatihani.
Wampe mwakyembe u-DPP au akabidhiwe TAKUKURU tuone atawatoa wapi mafisadi kama alivyoshadidia kuanzishwa kwa mahakama hiyo?!
Sent using
Jamii Forums mobile app