Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasasa naona Kesi bandia za uhujumu uchumi zimekuwa chanzo kipya cha mapato.Mtu anakamatwa kwa kesi za uraia baadaye anabadilishiwa kesi inakuwa ya uhujumu uchumi, halafu mkuu akiwa amekaa kwenye kiti cha hukumu anatangaza msamaha wa masharti,ndugu za watuhumiwa wanaanza kujichangisha kwa kuuza vitu vyao ili ndugu yao atoke gerezani(Mikononi wa watesi wenye mamlaka)Mnakumbuka Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi,Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi katika viwanja vya Nzovwe mjini Mbeya kwenye mkutano wa kampeni ya kuwaomba ridhaa Watanzania ya kuwaongoza katika awamu ya tano.
Dkt Magufuli aliwaeleza wananchi kuwa iwapo watampa ridhaa ya kuiongoza Tanzania,atahakikisha anaanzisha mahakama maalumu ya Mafisadi na Wala rushwa.
Baada ya kuingia ikulu ikaanzishwa mahakama ya mafisadi sambamba ya sheria yake.
Rais mwenyewe amekuwa akilia kwamba awamu ya nne ilijaa mafisadi chungu mzima. Wakati wa kampeni tukaambiwa mafisadi wamekimbilia UKAWA. Tukaambiwa CCM mpya.
Sasa ni miaka hakuna kinachoendelea zaidi ya kesi za tudagaa. Huku wanaotajwa kuwa mafundi wa ufisadi wakiendelea kula mema ya nchi.
Hivi kuna hata FUNDI mmoja wa ufasadi ametolewa kama mfano? Huu ndio wakati sasa wa kufanya remix ya song la mafisadi na sio kuwapiga madodoki mafisadi
Mbona wale waliokimbilia Upinzani wamerudi CCMMnakumbuka Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi,Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi katika viwanja vya Nzovwe mjini Mbeya kwenye mkutano wa kampeni ya kuwaomba ridhaa Watanzania ya kuwaongoza katika awamu ya tano.
Dkt Magufuli aliwaeleza wananchi kuwa iwapo watampa ridhaa ya kuiongoza Tanzania,atahakikisha anaanzisha mahakama maalumu ya Mafisadi na Wala rushwa.
Baada ya kuingia ikulu ikaanzishwa mahakama ya mafisadi sambamba ya sheria yake.
Rais mwenyewe amekuwa akilia kwamba awamu ya nne ilijaa mafisadi chungu mzima. Wakati wa kampeni tukaambiwa mafisadi wamekimbilia UKAWA. Tukaambiwa CCM mpya.
Sasa ni miaka hakuna kinachoendelea zaidi ya kesi za tudagaa. Huku wanaotajwa kuwa mafundi wa ufisadi wakiendelea kula mema ya nchi.
Hivi kuna hata FUNDI mmoja wa ufasadi ametolewa kama mfano? Huu ndio wakati sasa wa kufanya remix ya song la mafisadi na sio kuwapiga madodoki mafisadi
Mbona wale waliokimbilia Upinzani wamerudi CCM
Ingekuwa inafanya kazi tungekuwa tumeona angalao kesi moja imekwisha. Akina Kitilya na Shose na Sioi hawawezi kufungwa bali watateswa tu.Sasa kama hujui jengo la mahakama husika, inakuwaje unabisha kwamba haifanyi kazi? Umeenda hapo ukakuta pamefungwa?
Jana tu akina Kitilya na Sioi pamoja na Shose walipelekwa pale.
Lengo la kukuuliza jengo ni kutaka kujua ufahamu wako.
Kama hujui ndiyo ninakufahamisha sasa kwamba mahakama inatenda kazi na uache kubisha usiyoyajua
DPP kushindwa kukamilisha upelelezi kesi moja, haimaanishi kwamba mahakama haifanyi kazi.Ingekuwa inafanya kazi tungekuwa tumeona angalao kesi moja imekwisha. Akina Kitilya na Shose na Sioi hawawezi kufungwa bali watateswa tu.
Huwezi kuendesha ile kesi bila kuwa na Mshtakiwa Namba 1 na Namba 2. Namba 1 ni Standard Chartered Bank-London ambao ndiyo walio toa mkopo na hiyo na hiyo commission iliyo kwenye dispute. Standard Chartered Bank hawawezi kuja hapa kwa vile wao walishashtakiwa na SFO ya UK na kesi yao ikaisha.
Mshtakiwa wa 2 ni Bashir Awale ambaye alikuwa ni wakala wa Standard Chartered Bank. Huyu alipigwa Persona Non grata November 2015.
Hawa kina Kitilya na wenzao ni vidampa tu, hata hela waliyopata ni ya mboga tu.
Ndiyo maana mtoa hoja unaona Pickup ikiwabeba kuwapeleka Mahakamani pale Law School na kuwarudisha. Na DPP anakuambia upelelezi haujakamilila. Na nakuhakikishia Upelelezi siyo tu hauujakamilka bali hauwezi kupatikana
Hii mahakama imekufa kibudu iko archive kwenye makumbusho ya mahakama.Itifaki imezingatiwa!
Kwanza hongera mkulu wa nchi kwa kuyashughulikia haya majizi ya nchi hii, yenyewe ndiyo yanalizamisha taifa hili kiuchumi, "hongera"
Jana ilishuhudiwa mapapa ya "Escrow" yakipandishwa kizimbani "Rugemalila" na "Sethi", ilikuwa ni mahakama ya hakimu mkazi "Kisutu" kama ilivyozoeleka kwa kesi kubwa na nzito husikilizwa hapo
Sasa nimejiuliza bila ya majawabu, kwa taarifa tu za awali iliwahi ripotiwa kwamba mahakama ya mafisadi "wahujumu" uchumi imeundwa na teyari ipo inasubili kesi, lakini ilionekana ikikosa kesi za kushughulikia, je hushughulika na kesi za kifisadi za namna gani kama sio hizi za akina Rugemalila ?
ESCRO ni ufisadi, na ilitegemewa sasa ile mahakama inasemekana ilianzishwa na rais iwe inahusika na kesi hizi kwa ufanisi zaidi
lakini kesi hii imepelekwa kisutu, Mahakama ya mafisadi iko wapi?
na inajishughulisha na kesi za aina gani
Hizo zilijuwa siasa tu bwashee!Fisadi si lazima awe mtumishi wa umma!
Mtu yeyote mwenye kuhujumu maslahi ya umma kwa manufaa yake ni fisadi
Waliianzisha bila kufikiria kwamba wangeishia hukomafisadi walijitengenezea mahakama
Nje ya uwezo ni kutii maagizo hakuna chochote kilicho nje ya uwezo wa mahakama xaidi ya maagizoDPP kushindwa kukamilisha upelelezi kesi moja, haimaanishi kwamba mahakama haifanyi kazi.
Mahakama ni taasisi tofauti na DPP.
Hapo una blame mahakama kwa jambo ambalo lipo nje ya uwezo wake
Ukiona kesi yeyeto ushahidi ujakamilika miaka jua hauwezi kamilika hata wakipewa miaka 60,kikawaida ushahidi kukamilika huwa hauzidi miezi mitatu.Hao watateswa kukaa ndani at the end wataachiwa na DPP kwa maagizo.Itifaki imezingatiwa!
Kwanza hongera mkulu wa nchi kwa kuyashughulikia haya majizi ya nchi hii, yenyewe ndiyo yanalizamisha taifa hili kiuchumi, "hongera"
Jana ilishuhudiwa mapapa ya "Escrow" yakipandishwa kizimbani "Rugemalila" na "Sethi", ilikuwa ni mahakama ya hakimu mkazi "Kisutu" kama ilivyozoeleka kwa kesi kubwa na nzito husikilizwa hapo
Sasa nimejiuliza bila ya majawabu, kwa taarifa tu za awali iliwahi ripotiwa kwamba mahakama ya mafisadi "wahujumu" uchumi imeundwa na teyari ipo inasubili kesi, lakini ilionekana ikikosa kesi za kushughulikia, je hushughulika na kesi za kifisadi za namna gani kama sio hizi za akina Rugemalila ?
ESCRO ni ufisadi, na ilitegemewa sasa ile mahakama inasemekana ilianzishwa na rais iwe inahusika na kesi hizi kwa ufanisi zaidi
lakini kesi hii imepelekwa kisutu, Mahakama ya mafisadi iko wapi?
na inajishughulisha na kesi za aina gani
Kuwatetea wanyonge huku matendo yako yakiwanyonga hii ni ukakasi,walengwa walikuwa ni matajiri matokeo yake wanaougulia maamivu ni wanyongeJamani labda tuu kwanza nikiri kila binadamu anauelewa wake. Mimi kwakifupi na akili zangu fupi hakuna mtetezi wawa nyonge wala mfia taifa kama mnavyo aminishwa.
Na wa tz hamuwezi ipata haki au usawa ndani ya ccm. Endeleeni kuamini eti kuna kambare yeye hana sharubu.