technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Mahakama ( kitengo cha mafisadi ) itakuwa ikichukua miezi 9 kuwaukumu mafisadi na wahujumu uchumi.
Wamesema kesi moja haitachukua zaidi ya miezi Tisa kukamilika .
Wamesema kesi zitakuwa zikienda haraka haraka ili kuwaukumu mafisadi na wahujumu uchumi.
Kuna taarifa kuna mawaziri wataenda na maji kwenye mahakama hiyo wafanya biashara pia.
My take tuanze na mawaziri waliotuhujumu kuhusu IPTL na kusababisha hasara kwa tanesco ambayo italipwa na wananchi.