Tetesi: Mahakama ya mafisadi kuwazoa mawaziri

Tetesi: Mahakama ya mafisadi kuwazoa mawaziri

Hakuna tatizo kuwa na mahakama hiyo, tatizo ni kutotenda haki. Ni mahakama ya kulazimisha na hatujui majaji wamepewa meelekezo yapi.NAOGOPA SANA
 
Kama ni mkwepaji kodi kweli acha ashughulikiwe bila huruma hatuna njia nyingine, ni kuwapiga tu!
 
Mmmmmhh Mzee Bakhressa tena?? Mbona huyu Mzee awamu hii wanamsumbua hivyo.. Kunani??

Vijana wa Dau njooni
Yako maneno yanayosemwa mtaani kuwa kuna ulipizaji wa kisasi kutokana na pesa ambayo alilipwa ktk zama fulani za utawala baada ya kumwagiwa bidhaa zake kimakosa.
 
hvi pale kwa DPP washapeleka OC. wanatia huruma mawakili wetu, na mzigo huu tena wakati shida zimewajaa mpaka utosini wataweza kutoboa kweli!
 
Ndugu yangu kushindana na mtu mwenye pesa ni kazi ngumu sana. Ndiyo maana Rais alisema tumuombee. Mtu mmoja anaweza kuwanunua mahakimu na wapelelezi wote na kesi ikaisha. Na ukikataa kupokea pesa maisha yako yako hatarini ndiyo maana wanaofanya kazi hizo ni kazi za sacrifice. Ninaomba muwaombee mahakimu na wapelezi wa hizo kesi ili Mungu awalinde na hao mafisadi.
 
Haaaah
 
Uongozi huu mafisadi wamegeuzwa kuwa wapenzi wa Mungu, na wapenzi wa Mungu wamegeuzwa kuwa wavunja sheria.
 
Cjui wangeanza na wale waliosababisha tanesco kulipishwa mipesa na iptl. ....
Hasa hasa wangeanza na JK na wote waliosema ile pesa ya Rugemarila waliyogawiana kama karanga haikuwa ya umma halafu leo tunaambiwa tumeshindwa kesi tuilipe.
 
Back
Top Bottom