Iwapo ccm isingejaa mafisadi nchi hii ingekuwa imeendelea sana. Mafisadi ndiyo imekuwa nguzo kubwa katika kufanikisha ccm kushinda.
Makamba, aliyekuwa katibu mkuu wa ccm, aliwahi kusema "ukitaka biashara yako iende au istawi vizuri jiunge ccm." Hakuna kiongozi wa ccm wala wa serikali aliyewahi kupinga kauli hii ya Makamba.
Hivi hayo yalisemwa na Makamba au Sumaye?