Iwapo ccm isingejaa mafisadi nchi hii ingekuwa imeendelea sana. Mafisadi ndiyo imekuwa nguzo kubwa katika kufanikisha ccm kushinda.
Makamba, aliyekuwa katibu mkuu wa ccm, aliwahi kusema "ukitaka biashara yako iende au istawi vizuri jiunge ccm." Hakuna kiongozi wa ccm wala wa serikali aliyewahi kupinga kauli hii ya Makamba.
Tangu 2005 tunasema mwisho wa ccm. Kiongozi, ccm haiwezi kutoka madarakani kwa mentality tulizo nazo. Na ndio maana unaona ccm ndio chama kikongwe dola kilichobaki katika nchi zetu.Ndio mwisho wa CCM, maana kuna wale Makada wa CCM waliotengeneza ARV feki, Kuna yule anayejifanya Usalama wa Taifa, Kuna wale wenye Majina Feki, kuna wale wenye miradi ndani ya Serikali, wanacheza dili, kuna wale waliojimilikisha mali za Taifa....
Mkuu Haya Ndiyo Mawazo Watu Millions 45 Na Zaidi Tunawaza Tena Kwa Haraka Sana Kuliko!!sasa si waanze kuwakamata, maigizo tumechoka nayo....
Na MakambaHivi hayo yalisemwa na Makamba au Sumaye?
Kwanini watoe tamko? Kwani dau kawaje?
Kumbe mahkma ina mwenye nayo.Hata yeye mwenyewe mwenye hiyo mahakama ashtakiwe
Tangu 2005 tunasema mwisho wa ccm. Kiongozi, ccm haiwezi kutoka madarakani kwa mentality tulizo nazo. Na ndio maana unaona ccm ndio chama kikongwe dola kilichobaki katika nchi zetu.
Kwa upinzani huu uchwara, kwa sisi wananchi tuliopo wenye uwezo mdogo wa kupembua mambo, sidhani kama ccm inatoka madarakani anytime soon.
Haaaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mkuu labda anaonewa Wa dini nyingine maana vijana Wa Dau(Isis)aka wafia dini