MJITA HALISI 176
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 537
- 146
Yule aliyesema atatoa ushahidi duniani na mbinguni yupo wapi na ushahidi wake? Bwana madelu nchemba lete ushahidi wa mbinguni sasa.
Kashaokoka.
Ni mzee wa kanisa hapa mtahani kwetu
Yule aliyesema atatoa ushahidi duniani na mbinguni yupo wapi na ushahidi wake? Bwana madelu nchemba lete ushahidi wa mbinguni sasa.
Ila anakesi ya kumteka msack ambayo ni jinai hata mungu anajua hayo.
Tukae chonjo sasa kama GAIDI anarudi mtaani
Tukae chonjo sasa kama GAIDI anarudi mtaani
Ya Escrow yametoka wapi hapa?
Tunajadili kuhusu Gaidi Rwakatare kuachiwa.
Ila anakesi ya kumteka msack ambayo ni jinai hata mungu anajua hayo.
Wewe si bure utakuwa SHOGA(GAY) maana kwa mwanaume mkamilifu hawezi kuwa na akili kama za kwako.na kama utakuwa wa kike basi ni SHEMALE.Tukae chonjo sasa kama GAIDI anarudi mtaani
Wana jamvi,
Ttaarifa za hivi punde ni kwamba, Wilfred Lwakatare Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA ameshinda kesi iliyokuwa inamkabili. Mahakama imetupilia mbali tuhuma zote kwakujiridhisha kuwa ni zakupika hivyo mpaka sasa Lwakatale yupo huru.
wenye nia mbaya na CDM Mungu atazidi kuwaumbua hizi ni habari mbaya kwa cccm