Ila anakesi ya kumteka msack ambayo ni jinai hata mungu anajua hayo.
Ni kweli watanzania wameshtushwa sana na habari ya GAIDI kuachiwa huru!
safari hii mtaaibika sana , kila mipango yenu ya shetani inafeli ! Mungu ni mwema sana .
Ila anakesi ya kumteka msack ambayo ni jinai hata mungu anajua hayo.
Tukae chonjo sasa kama GAIDI anarudi mtaani
MSALANI hiyo single ya ugaidi ilishapitwa na wakati siku nyingi! Aibu kwako na washirika wako mnaimba wimbo usio na kibwagizo wala wasikilizaji...Badala usikitike unafurahia gaidi kuwa huru?
Ila anakesi ya kumteka msack ambayo ni jinai hata mungu anajua hayo.
Lwakatare bado ni gaidi tu hata jamii inajua hivyo.
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo 5th December 2014 imetupilia mbali Maombi ya Marejeo yaliyopelekwa na Serikali kupinga Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kumfutia mashitaka ya Ugaidi Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema,Wilfred Muganyizi Lwakatare.
Hii ni baada ya kukubaliana na hoja za wakili Peter Kibatara kuhusu mapungufu ya kisheria katika maombi hayo.
kwani mwigulu ndo alimshitaki?
Kumbukumbu zangu zinasema Zito alishauri chama kijitenge na kesi ya Lwax
Duuu... sasa zile mbwe mbwe zote za kamanda @kova , mara kampiga tanchi usiku wa manane....mara kanyang'anywa laptop. kumbe zote hizo zilikuwa ni mbio za sakafuni tu?