Mahakama ya rufaa yamfutia kesi ya Ugaidi Wilfred Lwakatare

Hongera Rwakatare pole kwayote Mungu amesikia kilio chako
 
Rais Uhuru Kenyata amefutiwa kesi majuu;naye atasherekea kwa amani kuu sikukuu kubwa kuliko zote duniani ya Krismasi !
 

Chezea Kibatala weye!
 
...."penye Ukweli, Uongo Hujitenga, Na Penye Nuru, Giza Hujitenga.!
 
Duuu... sasa zile mbwe mbwe zote za kamanda @kova , mara kampiga tanchi usiku wa manane....mara kanyang'anywa laptop. kumbe zote hizo zilikuwa ni mbio za sakafuni tu?

Vyombo vya usalama ni lazima vijiridhishe. Si kitu cha kushangaza kwa ukaguzi huo.
 
Mwigulu anatakiwa kumwomba radhi Lwakatare.........ni ubinadamu tuuu.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…