Mahakama ya rufaa yamfutia kesi ya Ugaidi Wilfred Lwakatare

Ya Escrow yametoka wapi hapa?

Tunajadili kuhusu Gaidi Rwakatare kuachiwa.
Dada yangu msalani hivi unajiskiaje hilo jina kama sehem husika ama hiyo m..im...ba isiokua na b....aba inakusumbua
 
Nyambaf zenu nyie majizi wote mliofungua kesi subirini kiama chenu kinakuja 2015
 
Mungu ni mwema sana. Wanafiki wanaumbuka tu.
Ova
 
Ameshinda dhidi ya rufaa waliyokata serikali juu ya kuodolewa tuhuma za ughaidi. Mashitaka mengine ni ya jinai na kesi bado haijaisha. Ndugu zangu wa Bukoba hili zengwe huenda likendelea hadi baada ya uchaguzi, makamanda wengine jitokezeni mapema jimbo liko wazi hili.
 
Kwani Mwigulu ndo alimshitaki?

Mwigulu alikuwa akitamba kila kona hadi bungeni kuwa anazo CD Rwakatare na viongozi wa chadema wakipanga mbinu za ugaidi, nashangaa baada ya kupata unaibu waziri kawa mpole kama maji ya mtungi
 
mwiguru alikuwa anatafuta uwaziri. hivi yukowapi yule kijana aliyekuwa anazunguka naye kwa madai alimwagiwa tindikali na vijana wa CDM
 
Kipenga cha kwanza kilivoliatu nikajua muv la kihindi staring atafia kwenye maua akiimba tu
 
Mwigulu hakupeleka ushahidi wake? Au anasubiri mbinguni ndio apeleke?
 
Lwakatare ndio aiombe radhi jamii ya watanzania kwa ukatili aliopanga kuufanya.
mmeshindwa kupeleka ushahidi mahakamani mnasema aombe radhi kwa lipi ccm ni wanafiki sana
 
HERI YA SIKUKUU!
Kuna kesi ya ugaidi ambayo ilimhusisha aliyekuwa mbunge wa Bukoba ndugu Rwakatare (Lwa?).Ni miaka imepita lakini msafara wa kuletwa mahakamani ulikuwa si wa kawaida.Lengo la post ni kumuomba mwenye kukmbukmbu nzuri atukumbushe tukio hili na kama iliripotiwa hapa atupandishie uzi huo!
Ni kujaribu kulinganisha na hili la Mbowe,je kuna kufanana?
 
Asanteni sana.
Turudi kwa huyu Ludovick.Hebu tumtafute huyu bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…