CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Well saidYapo ila mara hii nadhani ni kutoka Commonwealth 😁
Well saidYapo ila mara hii nadhani ni kutoka Commonwealth 😁
Hakika chiefUkijitambua,lazima kuna watu watakuona jeuri
Chezea wazungu.
calm down plz gentleman and stick to the motion without nonsense mayhem against my free opinions 🐒Look at this moron person, Every day you talks funkin nonsense. It's as if you was born in a bar and raised by drunkards.
Umazisihi mahakama wewe kama nani?In fact,
katika uchunguzi zaidi unaondelea dhidi ya mtuhumiwa huyo wa uhaini, ushahidi mpya umepatikana na ni wa wazi kabisa ili kuthibitisha makosa ya mtuhumiwa huyo.
nazisihi mahakama huru za Tanzania, kuukubali na kuupokea ushahidi huo muhimu sana, usio na shaka dhidi ya makosa ya uhaini yanayomkabili huyo kibaraka mropokaji wa mabwenyenye ya magharibi 🐒
MmhhhhNamkubali sana Lissu . Lissu ni hazina kubwa kwa taifa
Leo, tarehe 30 Julai 2026, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imetoa uamuzi muhimu katika shauri lililomhusisha Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) dhidi ya Tundu Antiphas Lissu. DPP alikuwa amewasilisha maombi ya kupitia upya uamuzi wa Mahakama Kuu uliokataa jaribio la upande wa mashtaka la kuwasilisha ushahidi mpya.
View attachment 3640052
Kiini cha Mzozo
Uamuzi wa Mahakama
- Upande wa mashtaka ulitaka kuwasilisha ushahidi wa ziada kupitia shahidi wao, ACP Amini Mahamba, ambaye alikuwa kiongozi wa timu ya uchunguzi wa matukio yaliyohusiana na Uchaguzi Mkuu wa 2025.
- Lissu, ambaye alijitetea mwenyewe, alipinga vikali hatua hiyo.
- Alieleza kuwa Kifungu cha 308 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA) kinaruhusu tu upande wa mashtaka kumwita shahidi mpya ambaye ushahidi wake haukusomwa wakati wa taratibu za awali, na sio kuongeza ushahidi mpya kutoka kwa shahidi ambaye tayari alikuwa ametoa ushahidi.
- Awali, Mahakama Kuu ilikubaliana na hoja za Lissu na kufutilia mbali notisi ya upande wa mashtaka kwa kuwa na mapungufu kisheria.
Ombi la Fidia lakataliwa
- Mahakama ya Rufaa imeunga mkono uamuzi wa Mahakama Kuu, ikieleza kuwa Kifungu cha 308 cha CPA kimewekwa maalum kwa ajili ya kumleta shahidi ambaye ushahidi wake haukuwahi kusomwa kwa mshtakiwa.
- Majaji wamefafanua kuwa sheria haiweki masharti ya kutoa kibali cha kumwita tena shahidi aliyepo ili kutoa ushahidi mpya au wa ziada.
- Kutokana na hilo, Mahakama imeamua kuwa notisi ya upande wa mashtaka ilikuwa na makosa na hivyo kutupilia mbali maombi yote ya DPP kwa kukosa mashiko.
Soma Pia: Tundu Lissu: DPP anilipe fidia kwa taabu aliyonisababishia kwa siku 139
- Wakati wa shauri hilo, Lissu aliomba kulipwa fidia kwa kutumia siku 139 akiwa rumande wakati kesi ya msingi ikiwa imesimama kupisha maombi haya, akidai yalifunguliwa kwa usumbufu ili kuchelewesha kesi.
- Mahakama imelikataa ombi hilo.
- Majaji wameeleza kuwa hawana mamlaka ya kutoa amri hiyo kwa sababu wao si mahakama ya mwanzo, na sheria inaelekeza kuwa fidia inaweza kuamriwa tu baada ya mshtakiwa kuachiwa huru moja kwa moja endapo itabainika kuwa mashtaka yalikuwa ya usumbufu.
Mapundugu yamepigwa na bado hiyo ni trela mkanda unakuja nguruwe lazima wakione cha motoIn fact,
katika uchunguzi zaidi unaondelea dhidi ya mtuhumiwa huyo wa uhaini, ushahidi mpya umepatikana na ni wa wazi kabisa ili kuthibitisha makosa ya mtuhumiwa huyo.
nazisihi mahakama huru za Tanzania, kuukubali na kuupokea ushahidi huo muhimu sana, usio na shaka dhidi ya makosa ya uhaini yanayomkabili huyo kibaraka mropokaji wa mabwenyenye ya magharibi 🐒
AIbu kwa mawakili wa serikali na huwa hawafanyi kwa makusudi ila huo ndio uhalisia wa uwezo wao.Leo, tarehe 30 Julai 2026, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imetoa uamuzi muhimu katika shauri lililomhusisha Mkurugenzi wa Mashtaka (D
Soma Pia: Tundu Lissu: DPP anilipe fidia kwa taabu aliyonisababishia kwa siku 139
Gentleman,Umazisihi mahakama wewe kama nani?
Hivi nyie watu lini mtaachana na ushetani wenu? Maisha madupi sana haya kuwatendea watu wanyonge mabaya.
Mlitaka kumuua,ana majibu Kila mahala na Bado anaishi na risasi...Hiyo pekeyake haitoshi hadi mnataka kumfanya aozee jela bila kosa lolote?
Alafu kesho wote tunaishia futi sita chini ya ardhi...Kwa nini mnawatendea watu mabaya hapa juu wakati hatma yetu sote ni Moja?
mbona mihemko tu bila point gentleman?Mapundugu yamepigwa na bado hiyo ni trela mkanda unakuja nguruwe lazima wakione cha moto
Tik tik, muda unasogea tu lile suala lako la kuhukumu kwa uhakika kuwa Jamhuri itamnyonga linakaribia. Muda utasema.In fact,
katika uchunguzi zaidi unaondelea dhidi ya mtuhumiwa huyo wa uhaini, ushahidi mpya umepatikana na ni wa wazi kabisa ili kuthibitisha makosa ya mtuhumiwa huyo.
nazisihi mahakama huru za Tanzania, kuukubali na kuupokea ushahidi huo muhimu sana, usio na shaka dhidi ya makosa ya uhaini yanayomkabili huyo kibaraka mropokaji wa mabwenyenye ya magharibi 🐒
huo sio usia gentleman, plz.
hilo ni takwa la kisheria kabisa pale ambapo kesi inaendelea na uchunguzi zaidi wa kujiridhisha dhidi ya makosa ya mtuhumiwa unaendelea. Haki lazima itendeke ipasavyo kwa pande zote, na hakuna mtu anapaswa kuonewa kwa sababu zozote zile.
So,
ni muhimu sana mahakama huru za Tanzania, zikazingatia maombi ya DPP na kesi iendelee kwa uwazi zaidi, kwasababu athari za mipango ya uhaini zimeonekana wazi wakati kesi inaendelea.
Gentleman,
kuhusu habari ya kutukanwa na kuporomoshewa matusi,
hiyo niachie mimi. Na kumbuka, matusi ni Identity maalumu sana ya chadema, kwasababu siku zote hayo matusi huashiria introduction ya mtukanaji au conclusions ya mporomosha matusi, na kwamba yupo empty head with pointless comments.
Ni signal muhimu sana kua, anae tukana na kuporomosha matusi ni empty head with pointless comments. So, just leave it as it is to me 🐒
Katika hili hamshindi. Shetani hawezi kuwa mshikdi siku zote.Gentleman,
nazisihi mahakama kama rafiki wa mahakama, kama mdau wa sharia, lakini pia kama familia na mTanzania mwingine yoyote yule huru na mzalendo mwenye nia njema kwa mustakabali wa ustawi wa mfumo wa utoaji haki Tanzania.
Au kuna makosa hapo gentleman?
hayo mengine nadhani ni porojo na mihemko nonsense tu jukwaani 🐒
IN THE COURT OF APPEAL OF TANZANIA
AT PAR ES SALAAM
(CORAM: MWARIJA. J.A.. MURUKE, J.A. And KHAMIS, J.AJ)
CRIMINAL REVISION NO. 7203216 OF 2026
DIRECTOR OF PUBLIC PROSECUTIONS......................APPLICANT
VERSUS
TUNDU ANTIPHAS LISSU...............................RESPONDENT
(Appeal from the Ruling and Order of the High Court of Tanzania
at Dar es Salaam) (Ndunauru. Karavemaha And Kiwonde. JJ.) Dated the 24th day of February, 2026 in Criminal Sessions Case No. 000019605
PULING OF THE COURT
3rd & 30th July, 2026
MWARI3A. J.A.:
On 3/3/2026 the Director of Public Prosecutions, the applicant
herein, instituted this application moving the Court to revise the
proceedings and the ruling of the High Court of Tanzania dated
22/2/2026, arising from Criminal Sessions Case No. 000019605 of 2025 (the criminal case) in which the respondent, Tundu Antiphas Lissu, is an accused person. The application, which was brought under section 6 of the Appellate Jurisdiction Act, Chapter 141 of the Revised Laws (the
Page 1
AJA) and rule 65 (1) of the Tanzania Court of Appeal Rules, 2009 (the Rules), is supported by an affidavit sworn by Cathbert Cornel Mbiting'i, learned State Attorney.
The respondent, opposed the application through his affidavit in
reply filed on 11/3/2026. Apart from his affidavit in reply, he filed a
notice of preliminary objection in terms of rule 107 of the Rules. His
preliminary point of objection is to the following effect:
" That, in terms o f section 8 (2) (d) of the Appellate Jurisdiction Act, Cap 141 [R.E 2023], the applicant is precluded from challenging any
interlocutory decision or order of the trial court by way o f revision"
At the hearing of the application, the applicant (DPP) was represented by Ms. Ajuaye B. Zegeli, learned Principal State Attorney assisted by Messrs. Nassoro Katuga, Job Mrema and Ignas Mwinuka, learned Principal State Attorneys, Mr. Tulumanywa Majigo and Ms. Tawabu Issa,
learned Senior State Attorneys, Mr. Cathbert Mbiting'i and Mr. Winaiwa
Kassala, learned State Attorneys. The respondent (Tundu Lissu) appeared in person, unrepresented.
Page 2
.......
.....
....
issued a reasonable notice to the accused person was underscored by the Court in, among others, the cases of Ndisenga Vicent v. Republic (Criminal Appeal No. 523 of 2021) [2023] TZCA 17299 and Ramadhani Mashaka v. Republic (Criminal Appeal No. 311 of 2015) [2016] TZCA 259. In both cases, the evidence of the witnesses who testified while their evidence was not read out at the committal proceedings, was expunged from the record.
In the circumstances, we agree with the trial court that, section
308 of the CPA carters for a witness who was neither listed nor was his evidence read to an accused person at the committal proceedings. It does not set out the conditions for granting leave to a witness whose evidence was read, to be recalled to adduce additional evidence as intended in the notice issued by the prosecution.
On the basis of the foregoing reasons, we are of the considered
view that, the notice was misconceived and the trial court was thus justified to strike it out.
Apart from the prayer for dismissal of the application, the respondent prayed to be paid compensation on account that, this application was frivolously instituted by the applicant with the intention
Page 23
of delaying determination of the criminal case. He contended that,
following the filing of the application, the proceedings of the criminal case was stayed for a period of 139 days as at the date of hearing this application. Relying on the provisions of section 367 of the CPA, he urged us to order the applicant to pay him compensation for the agony allegedly suffered for the period of 139 he spent in custody as a result of the pendency of the application. Section 307 of the CPA upon which the prayer for compensation was predicated stated that: "367. Where on the acquittal o f an accused person a court is o f the opinion that the charge was frivolous or vexatious, the court may order the complainant to pay to the accused person a reasonable sum as compensation for the trouble and expense to which he may have been put by reason o f such charge, in addition to his costs."
Upon interpretation of the provision of the CPA reproduced above, we are certain that the prayer made by the respondent before this Court is untenable for two main reasons. First, this being not the court of first instance, has no jurisdiction to entertain the prayer, secondly, it is upon the acquittal of an accused person and establishment of the claim
Page 24
that the charge was frivolous or vexatious that compensation may be ordered. In the circumstances, we decline to entertain the prayer for want of jurisdiction to do so.
Reverting to the application, for the aforesaid reasons, we are of
the settled view that, the same is devoid of merit. Consequently, we
hereby dismiss it.
DATED at DODOMA this 29th day of July, 2026.
A. G. MWARIJA
JUSTICE OF APPEAL
Z. G. MURUKE
JUSTICE OF APPEAL
A. S. KHAMIS
JUSTICE OF APPEAL
Ruling delivered this 30th day of July, 2026 via virtual court in the
presence of Ms. Ajuaye Zegeli, learned Principal State Attorney, Mr. Tawabu Issa, learned Senior State Attorney for the applicant, Tundu Antiphas Lissu appeared in person, unrepresented and Mr. Leopord Mabugo, Court Clerk; is hereby certified as a true copy of the original.
Page 25
Director of Public Prosecutions vs Tundu Antiphas Lissu (Criminal Revision No. 7203216 of 2026) [2026] TZCA 846 (30 July 2026)
Source : https://tanzlii.org/en/akn/tz/judgment/tzca/2026/846/eng@2026-07-30