Mahakama ya Rufaa yatupilia Mbali Maombi ya DPP ya Kuongeza Ushahidi Katika Kesi ya Tundu Lissu

Look at this moron person, Every day you talks funkin nonsense. It's as if you was born in a bar and raised by drunkards.
calm down plz gentleman and stick to the motion without nonsense mayhem against my free opinions πŸ’
 
Umazisihi mahakama wewe kama nani?

Hivi nyie watu lini mtaachana na ushetani wenu? Maisha madupi sana haya kuwatendea watu wanyonge mabaya.

Mlitaka kumuua,ana majibu Kila mahala na Bado anaishi na risasi...Hiyo pekeyake haitoshi hadi mnataka kumfanya aozee jela bila kosa lolote?

Alafu kesho wote tunaishia futi sita chini ya ardhi...Kwa nini mnawatendea watu mabaya hapa juu wakati hatma yetu sote ni Moja?
 
Tanzania ni Taifa huru Wazungu wanajua ivyo🀠

kwetu wamependekeza mengi sio kumwachia Lissu tu πŸ‘ˆ

Yapo na mengine walishapendekeza na Usodoma lkn tumesimama kama Taifa Huru ✍️
 

Hii kesi haikuwa na sababu ya kuwepo in the first place. Kwa sababu wana siasa wanjuana. Wangeweza kukabana na mambo yakaenda.

Kukosa akili na maarifa kumesababisha haya yote. Nani aliyetudanganya kwamba tunaweza kufanya kitu chochote bila kupata madhara yoyote, hata kama tunachofanya ni dhambi na jinai?

Na kwa bahati mbaya, kesi hii bila kujua, imetengeneza mwelekeo wa mambo mengi sana kwenye siasa za leo za Taifa letu. Imetuadhiri. Tumesuswa.

Kwanini isifutwe maisha yaendelee? Tunachotaka ku prove ni nini?
 
Mapundugu yamepigwa na bado hiyo ni trela mkanda unakuja nguruwe lazima wakione cha moto
 
Gentleman,
nazisihi mahakama kama rafiki wa mahakama, kama mdau wa sharia, lakini pia kama familia na mTanzania mwingine yoyote yule huru na mzalendo mwenye nia njema kwa mustakabali wa ustawi wa mfumo wa utoaji haki Tanzania.
Au kuna makosa hapo gentleman?

hayo mengine nadhani ni porojo na mihemko nonsense tu jukwaani πŸ’
 
Tik tik, muda unasogea tu lile suala lako la kuhukumu kwa uhakika kuwa Jamhuri itamnyonga linakaribia. Muda utasema.
 

Sawa Gentleman! Mengine nakuachia wewe. Tupo pamoja. 😊
 
Katika hili hamshindi. Shetani hawezi kuwa mshikdi siku zote.

Hili litawapalia nyie mashetani.
 
Mi

Kiini cha kesi, kabla ya Hukumu ya Mahakama ya Rufaa ya leo 30 Julai 2026

KUTOKA MAKTABA
KIINI CHA KESI

03 Julai 2026

MAHAKAMA YA RUFANI YAKAMILISHA USIKILIZAJI MAOMBI YA MAPITIO KESI YA LISSU


View: https://m.youtube.com/watch?v=nU347w8krng
Mahakama ya Rufani imekamilisha usikilizwaji wa shauri la maombi ya mapitio lililofunguliwa na Jamhuri kupitia kwa DPP dhidi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu.

Jamhuri ilifungua shauri hilo la maombi ya mapitio Februari 24, 2026, ikipinga uamuzi wa Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam, kuikatalia maombi yake ya kutaka iruhusiwe kuwasilisha ushahidi wa nyongeza katika kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa huyo.

Shauri hilo la mapitio namba 7203216/2026 limesikilizwa leo, Ijumaa, Julai 3, 2026, na jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufani walioketi Dar es Salaam, likiongozwa na Jaji Augustine Mwarija, Majaji wengine ni Zainabu Muruke na Amour Khamis


View: https://m.youtube.com/watch?v=47uqaVO8yvw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…