Toka mwanzo nimekuambia kwamba mimi nimewahi kuishi, na kufanya kazi za chama na serikali huko Tegeta A, na maeneo mbali mbali ya Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.
Kwa hiyo viongozi wa sasa wa huko ninawajua vizuri katika kazi zao kwa sababu nimeshirikiana nao.
Mara ya mwisho nilihidhuria msiba wa Kazumba Charles Kazumba maeneo ya Njia Panda Tegeta A.
Kuna vijana huko kama Mdoe na wengineo kama Suzy Allen Mzee Mbegu bila kumsahau Rambo.