Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Toka mwanzo nimekuambia kwamba mimi nimewahi kuishi, na kufanya kazi za chama na serikali huko Tegeta A, na maeneo mbali mbali ya Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Sasa kama huishi tegeta A kwanini ulikua unabisha kuhusu shida za Tegeta A? Unatetea wapuuzi wenzio utasema unalala nao kitanda kimoja. Punguza kiherehere
Kwa hiyo viongozi wa sasa wa huko ninawajua vizuri katika kazi zao kwa sababu nimeshirikiana nao.
Mara ya mwisho nilihidhuria msiba wa Kazumba Charles Kazumba maeneo ya Njia Panda Tegeta A.
Kuna vijana huko kama Mdoe na wengineo kama Suzy Allen Mzee Mbegu bila kumsahau Rambo.