Mahakama ya Rufani Tanzania imemuachia huru Deo Kisandu (Civilian Coin) mwanasiasa aliyeacha Siasa

Mzee wa go away. Mwambie Deo atutumie hii ngoma yake ilikuwa hit sana enzi zile.
 
Humu kuna mdau alijinasibu kwamba Deo alifariki na alizikwa Mkolani mwanza
 
Jamaa si alikuwaga chizi yule?
 
Ungerudi kwa ile ID yako kaka ,anyway nafurahi uko huru tena mara ya mwisho walisema umefariki kaka nililia sana nikaumia mno kumbe ni uongo .

Pamoja sana kaka ,zama studio toa tena zile ngoma zako kali mimi niko kukisapoti kwa kusikiliza sio kukumanage mkuu wangu
 
Jamaa yangu sana huyu! Hana baya na mtu! Hata waliomfunga watakuwa walimuonea tu. Binafsi ninamsubiri kwa hamu sana humu jukwaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…