UDSM Alumni
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 2,563
- 1,393
Nalimi karb mkuu kitambo sana
hahaaha, taarifa nyeti, itamfikiaAmtafute demu wake sasa mtoto wa Obama 😂
Sasa nimekuelewa.Sababu zipo nyingi sana, Kama vile askari anavyoamishwa hata Mfungwa nae uhamishwa pia Sababu za usalama/ulinzi/msongamano/kiafya/mahitaji maalum
Jamaa sema nae anahistoria sana kutoka kusomea Upadre kuwa mwalimu, Mwanasiasa na mwandishi hadi kuwa mjela jela OG
Ikwanza taarifa ya Malisa ni ya kubuni imejaa uongo mwingi na ukweliq kidogo Sana. Kesi ya kwanza alifungwa miaka 3nasio 2, Pia kesi ya pili aliyetuhumiwa kumwita mchawi Ni mama yàke mzazi Bi. Laurencia Tundule na ndiye aliye mfunga japo kwasasa wako pamoja nyumbani kwao Kahama, huko shunu na hivyo Civilian Coin (Deo wa zamani) hawezi kuomba kulipwa kwa kuwa aliyemshitaki Ni mama yàke na hivyo atakuwa amemwingiza garama. Mlalamikaji husimamiwa na Jamhuri. Pia Sasa hajulikani Kama Deo Bali Ni Civilian Coin na ndivyo Mahakama ilivyo mfunga kwa jina hill, rejea order ya Mahakama hapa cjinoKwa mujibu wa Malisa Godlisten ndugu yetu kabisa Deo Kisandu ameshinda Rufaa ya kesi yake ya mchongo, tunamkaribisha uraiani na JF kwa ujumla. Legends wa JF wanakumbuka vituko vyake.
Mnamkumbuka huyu jamaa? Anaitwa Deogratius Kisandu. Aliwahi kuwa Katibu wa BAVICHA mkoa wa Tanga, mgombea ubunge jimbo la Lushoto kupitia Chadema. Baadae akahamia NCCR Mageuzi na kuwa Msaidizi binafsi (PA) wa Mwenyekiti Mbatia, kisha akawa Katibu Mwenezi wa chama hicho taifa.
Mwaka 2018 alikamatwa kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo mtandaoni. Akashtakiwa na kupatikana na hatia. Akafungwa miaka miwili. Akatumikia kifungo chake gereza la Butimba Mwanza kwa mwaka mmoja na kwenda kumalizia adhabu gereza la Kitengule Kagera.
Alipotoka tu, akarudi mtandaoni na kuandika kuwa kuna viongozi wachawi serikalini. Akataja majina viongozi wakuu wastaafu na wengine waliokuwa madarakani. Akakamatwa tena. Akashtakiwa kwa kutoa taarifa za uongo kuhusu viongozi kuwa wachawi. Akapatikana na hatia na kuhukumiwa miaka 6 gerezani.
Akiwa gerezani akakata rufaa Mahakama Kuu kupinga hukumu hiyo iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya Kahama. Lakini mwaka 2024 Mahakama Kuu ikatupilia mbali rufaa yake. Hakuridhika, akakata rufaa Mahakama ya Rufaa. Tar.09 March 2026 Mahakama ya Rufaa imekubali rufaa yake na imemwachia huru kwa kuwa Jamhuri haikuweza kudhibitisha kuwa viongozi hao si wachawi na pia serikali haiamini katika ushirikina.
Kisandu akiwa amebakiza miezi michache amalize kifungo chake cha miaka 6, anashinda rufaa na kuachiwa huru. Baraka Mpenja anasema “dakika za jioooooooooni”.
Swali kwa Mawakili wasomi: Hii imekaaje? Yaani unafungwa kimakosa na unatumikia kifungo, halafu wakati unakaribia kumaliza ndipo mahakama inasema ulifungwa kimakosa. Je, hawezi kudai fidia akalipwa kwa kupotezewa muda? Kwa nchi zilizoendelea kama Marekani hilo linawezekana kabisa na atalipwa mabilioni ya pesa. Je kwa nchi zetu za dunia ya 3 hali ikoje? Inawezekana kudai fidia au ndo huwezi kushindana na serikali? 🤷♂️
ANDIKO HILI NIMELITOA KWENYE UKURASA WA FACEBOOK WA GODLISTEN G
Samahani, Asubuhi News hainaDeogrstius Kisandu aka Asubuhi News au Civilian Coin ameonewa sana na Serikali., lakini kila mara haki iko upande wake.
Asubuhi News Haina ushirika na Civilian CoinDeogrstius Kisandu aka Asubuhi News au Civilian Coin ameonewa sana na Serikali., lakini kila mara haki iko upande wake.
NotedSamahani, Asubuhi News haina
Asubuhi News Haina ushirika na Civilian Coin
Unajifariji mwenyeweKaribuni tumfariji jamaa yetu
Wewe unaetembea zaidi ya 12Km kufata Ubwabwa na Pepsi ya Bure na huyu Jamaa nani Elimu imemsaidia Mkuu@?Huyu jamaa ni moja ya wasukuma ambao walisoma ila elimu zao hazijawasaidia
Kuna wakati hata marehemu Mtikila walidai dish LIMEYUMBA! Dola ikiende mahakama Mtikila alikuwa anawaburuza na kuwatoa show wanasheria wa serikali Ile mbaya!Yaani vyeo vyote hivyo alikuwa anapewa kisandu hao waliokuwa wanampa hivyo vyeo Akili zao zinafanya kazi kweli Maana kisandu inajulikana kabisa kuwa kichwa chake hakipo sawa
Yeye na mwandambo ni 🩲🍑