Mahakama ya Rufani Tanzania ina Majaji 31 wakati Supreme court ya Marekani ina majaji 9 tu. Tutaendelea kukopa madeni kwa sana!

Status
Not open for further replies.
Mungu anapanga yote, maisha yetu yapo chini yake... haikupangwa kutimia 🙏
 
Mkuu mjadala unapokuja mezani maana yake ujadiliwe na watu wachangie. Wakosoe, warekebishe na kuboresha.
Asante kwa kufanya hivyo
 
Kuhusu sustainability kaka.......Kama hakuna systematic approach ukifa au ukitoka madarakani vyote vinakufa.
 
Matajiri wana kiburi sana! Nafkiri ndomana aliwachukia.

Tazama saiv hawa matajiri wa kiarabu na kihindi walivyo wanyanyasaji, makatili na wenye viburi na dharau kwa serikali na raia wake. Siku hizi wameongezeka matajiri wa kichina nchini.

Yaan wanadharau mpaka wazawa wenye nchi yao, na wakati haohao ndo wanawatumia kama cheap labours.

Wapo waliotekwa, wakafanyiwa ukatili, wengine hadharani na kunyimwa stahiki zao... Polisi wote wapo chini yao, Mlalahoi atasema nini?! Unaweza kuwa na jeuri hiyo ukiwa kwao hata kama wewe ni trilionea?!

Hiki ndo alikuwa hakitaki mzee! Angekuwepo hawa kenge wa kiarabu na kihindi mbona saiv wangekuwa na adabu wote.

Unajua kwamba kuna matajiri wana jeuri hata ya kumvimbia Waziri hata Rais kama ana njaa njaa na tamaa?! Hapa kwetu tunao, tunapoelekea watakuwa na jeuri mpaka ya ku-suggest Rais awe nani... Mfano rahisi ni GSM na jopo lake...(waangalieni kwa makini sana)

(naizungumzia GSM yote na vibaraka wake)
 
Imeenda wapi? hapo unapate net ya kuingia hapa? ni Wilaya gani haina mawasiliano ya internet hapa bongo?
Kusikiliza kesi na kufanya maamuzi ni suala la nyeti sana siyo la kutumia mifumo hii ambayo muda mwingi haifanyi kazi sawa sawa.
 
Bunge ndiyo chombo pekee yenye uwezo wa kuunda vizuri muundo wa mahakama, Magufuli yeye angeanzia kwenye katiba. ila kutokana na msimamo wake kuhusu katiba hivyo alikuwa anakudanganya.
 
Bunge ndiyo chombo pekee yenye uwezo wa kuunda vizuri muundo wa mahakama, Magufuli yeye angeanzia kwenye katiba. ila kutokana na msimamo wake kuhusu katiba hivyo alikuwa anakudanganya.
Duuh
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…