Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #21
Hahaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa
Mnatuumiza sisi wavuja jasho
Sina taarifa hizoBudget ya Marekani inajadiliwa kwa siku ngapi?
kwa rasilimali zote bado tunakopa hii nchi ni stupidyTujiulize maswali tunakopa tujenge uchumi au tunakopa ili tule?
Kwa hili nadhani alipotea njia. Mshahara wa Jaji ni M 7+ kwa mwezi, anashindwa vipi kwenda Africa Kusini kwa mapumziko wakati nauli ya kufika huko ni around 1M tena kwa ndege?. Zaidi wengine hata kabla ya ujaji walikuwa na fedha zao nyingi tu na wamekuwa wakienda holidays hata nje ya nchi?.2018 February Hayati Dr Magufuli wakati akiwapisha majaji alisema kuna majaji wakati wa Likizo wanaenda kula bata nje ya nchi na familia zao.
Hayati aliongeza kwa kusema anawafatilia kwa ukaribu kuona hizo pesa wanazitoa wapi.
Bahati Mbaya Mwenyezi Mungu alimchukua kabla hajafanya ukarabati na muundo mpya wa taasisi hiyo nyeti ya utoaji haki.
kwa rasilimali zote bado tunakopa hii nchi ni stupidil
Google mkuuSina taarifa hizo
Mh Rais hawezi kuongea kitu ambacho hana uhakika, kauli ya marehemu ilimanisha kitu fulani ambacho hakukisema wazi waziKwa hili nadhani alipotea njia. Mshahara wa Jaji ni M 7+ kwa mwezi, anashindwa vipi kwenda Africa Kusini kwa mapumziko wakati nauli ya kufika huko ni around 1M tena kwa ndege?. Zaidi wengine hata kabla ya ujaji walikuwa na fedha zao nyingi tu na wamekuwa wakienda holidays hata nje ya nchi?.
Vingapi aliongea vya uongo?Mh Rais hawezi kuongea kitu ambacho hana uhakika, kauli ya marehemu ilimanisha kitu fulani ambacho hakukisema wazi wazi
kama anasema kukopa ndio uchumi mwambie wakakope HOYA wale wenye IST zinazozurulaMh Kafulila anasema kukopa ndio uchumi wenyewe
Bajeti mkuu.Kazi ipo......basi tuongeze wawe 100
Hapo napingana na wewe mkuu,Denmark Ina wabunge 179 tu wakati Tanzania mpokeaji mkubwa wa misaada toka DANIDA Ina wabunge 395.
View attachment 3012557
Tunakopa ili tuneemeshe matumbo machache mkuu.Tujiulize maswali tunakopa tujenge uchumi au tunakopa ili tule?
Mkuu hizi huwa ni porojo za hawa watoa misaada ili waendelee kutuzamisha zaidi. Na ni porojo za wala mema ya nchi ili waendelee kupeana vyeo.Hapo napingana na wewe mkuu,
Denmark ina watu milioni 6 na ukubwa wa kilometa za mraba 42,000.
Tanzania tupo milioni 60 na nchi ina ukubwa wa kilometa za mraba laki tisa.
Hivyo kwenye swala la wabunge bado hatujaharibu sana ni haki kabisa.