Wanatapata hamna lolote.CCM Wahuni sana, wamefanya hivi baada ya kujiweka madarakani
Kweli ripoti ya Chade matukio ya Oktoba 29 inakaribia, si kwa msawazisho huuMahakama ya rufani kanda ya Dodoma imetengua maamuzi ya Mahakama kuu yaliyoizua CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa nchini, kufuatia kesi iliyofunguliwa na Said Issa, maarufu kama kesi ya Mgawanyo wa mali za chama.
Sasa CHADEMA ni ruksa kuendelea na shughuli za kisiasa nchini.
Taarifa zaidi zitafuata.
Lengo lao lishatimia.Mahakama ya rufani kanda ya Dodoma imetengua maamuzi ya Mahakama kuu yaliyoizua CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa nchini, kufuatia kesi iliyofunguliwa na Said Issa, maarufu kama kesi ya Mgawanyo wa mali za chama.
Sasa CHADEMA ni ruksa kuendelea na shughuli za kisiasa nchini.
Taarifa zaidi zitafuata.
Majaji ni akina naniMahakama ya rufani kanda ya Dodoma imetengua maamuzi ya Mahakama kuu yaliyoizua CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa nchini, kufuatia kesi iliyofunguliwa na Said Issa, maarufu kama kesi ya Mgawanyo wa mali za chama.
Sasa CHADEMA ni ruksa kuendelea na shughuli za kisiasa nchini.
Taarifa zaidi zitafuata.
Watavurugaje nchi kwa kufanya mikutano? Mbona vyama vingine vinafanya?Chadema inavyopenda sifa, sio siku nyingi watazuiwa tena. Maana mikutano kila mahali itavuruga nchi
Charm offensiveMahakama ya rufani kanda ya Dodoma imetengua maamuzi ya Mahakama kuu yaliyoizua CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa nchini katika kesi iliyofunguliwa na Said Issa na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama na Katibu Mkuu, maarufu kama kesi ya Mgawanyo wa mali za chama.
Sasa CHADEMA ni ruksa kuendelea na shughuli za kisiasa nchini.
View attachment 3573052
Soma: CHADEMA: Mahakama ya Rufaa kusoma uamuzi wa kesi ya Saidi Issa Mohamed leo Aprili 15, 2026
Taarifa zaidi zitafuata.
Wamebana wameachiaMahakama ya rufani kanda ya Dodoma imetengua maamuzi ya Mahakama kuu yaliyoizua CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa nchini, kufuatia kesi iliyofunguliwa na Said Issa, maarufu kama kesi ya Mgawanyo wa mali za chama.
Sasa CHADEMA ni ruksa kuendelea na shughuli za kisiasa nchini.
View attachment 3573052
Taarifa zaidi zitafuata.
Kutoka X: Oyooooooooo
Shida ni polisi sasa hapo
"Interejinsia
Polisi wataanza bisa kuwa kwa inteligensia ya polisi chadema watafanya fuji.
Tujiandae kwa hilo