MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,758
- 6,692
QLMYVp kwa sasa mahakama imetenda haki?
Karibuni uwanjani
QLMYVp kwa sasa mahakama imetenda haki?
Karibuni uwanjani
Sasa katika mazingira kama haya ulitakaje Bwana mkubwa,Chedema haina dola hata hili ni jambo jemaHaki ya kikatiba mpaka iruhusiwe na mahakama, ajabu sana.
Chadema ilizuiwa makusudi ili CCM inufaike, now CCM wameshapata walichotaka, Chadema imeruhusiwa kuendelea na mikutano.
Hapakuwahi kuwepo sababu yoyote ya msingi kuizuia Chadema kufanya shughuli zake kisiasa.
Hii tabia ya kushangilia haki yako uliyonyan'ganywa unaporudishiwa haifai, inatuonesha tulivyo dhaifu na wanavyoweza kutuchezea kila wakitaka.
Duuh! Ni wamejichanganya au wamejiandaa ndo wakatoa uamuzi?? Cause hali si shwari kwao. Wataua sana!!Mahakama ya rufani kanda ya Dodoma imetengua maamuzi ya Mahakama kuu yaliyoizua CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa nchini katika kesi iliyofunguliwa na Said Issa na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama na Katibu Mkuu, maarufu kama kesi ya Mgawanyo wa mali za chama.
Sasa CHADEMA ni ruksa kuendelea na shughuli za kisiasa nchini.
Aidha, mahakama imeelekeza kubadilishwa kwa Jaji aliyekuwa akisikiliza shauri hilo, huku kesi ikiendelea kusikilizwa kulingana na taratibu za kisheria.
View attachment 3573052
Soma>> CHADEMA: Mahakama ya Rufaa kusoma uamuzi wa kesi ya Saidi Issa Mohamed leo Aprili 15, 2026
Taarifa zaidi zitafuata.
Hasa mapolisiTaarifa mbaya sana hii kwa maccm na vibaraka wao.
Mahakama ya rufani kanda ya Dodoma imetengua maamuzi ya Mahakama kuu yaliyoizua CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa nchini katika kesi iliyofunguliwa na Said Issa na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama na Katibu Mkuu, maarufu kama kesi ya Mgawanyo wa mali za chama.
Sasa CHADEMA ni ruksa kuendelea na shughuli za kisiasa nchini.
Aidha, mahakama imeelekeza kubadilishwa kwa Jaji aliyekuwa akisikiliza shauri hilo, huku kesi ikiendelea kusikilizwa kulingana na taratibu za kisheria.
View attachment 3573052
Soma>> CHADEMA: Mahakama ya Rufaa kusoma uamuzi wa kesi ya Saidi Issa Mohamed leo Aprili 15, 2026
Taarifa zaidi zitafuata.
Kwenye hesabu hyo hyousiwe kama hukwenda shule, kama katika normal /natural mathematics mtu anasema 1+1=3, lazima tuseme kuwa hiyo siyo kweli. Ndicho kinachofanywa na mahakama. Leo kweli 1+1=2.... hii ndiyo sahihi! tutalisema kuwa imetenda haki!
Excellent habari zimfikie pimbi Yericko NyerereMahakama ya rufani kanda ya Dodoma imetengua maamuzi ya Mahakama kuu yaliyoizua CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa nchini katika kesi iliyofunguliwa na Said Issa na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama na Katibu Mkuu, maarufu kama kesi ya Mgawanyo wa mali za chama.
Sasa CHADEMA ni ruksa kuendelea na shughuli za kisiasa nchini.
Aidha, mahakama imeelekeza kubadilishwa kwa Jaji aliyekuwa akisikiliza shauri hilo, huku kesi ikiendelea kusikilizwa kulingana na taratibu za kisheria.
View attachment 3573052
Soma>> CHADEMA: Mahakama ya Rufaa kusoma uamuzi wa kesi ya Saidi Issa Mohamed leo Aprili 15, 2026
Taarifa zaidi zitafuata.
Chadema ina watu, hawa watu ndio wanatakiwa kuwa walinzi wa kulinda sheria za nchi, na wasikubali uonevu wowote mahali popote.Sasa katika mazingira kama haya ulitakaje Bwana mkubwa,Chedema haina dola hata hili ni jambo jema
Hyo ni lugha ya akina shiviji unaweza kuielewa?Nashauri: Iwekwe nakala ya hukumu hapa tufuatilie. Chadema mnakwama sana kutozianika hizi kesi. Umma unatakiwa ujue nabkupitia hukumu za kesi hizi.
Kwani shughuli za kisiasa zilikua zimezuiwa nchini?Haya siasa zifanyike sasa
CCM wamefanikiwa walichotaka, it was calculated move...Kwa hyo leo mahakama haijasikiliza maelekezo kutoka juu?
Wajinga tu ndio watasema kama unavyosema.Vp kwa sasa mahakama imetenda haki?
Karibuni uwanjani
Na Samia anaua tena. 😵😵😵Watu wabaya Sana😄😄
Alafu ikifika 2029/30 wanapigwa kamba tena
Mungu ni mwema Kila wakati na hakuna giza linaloweza kuishinda nuruMahakama ya rufani kanda ya Dodoma imetengua maamuzi ya Mahakama kuu yaliyoizua CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa nchini katika kesi iliyofunguliwa na Said Issa na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama na Katibu Mkuu, maarufu kama kesi ya Mgawanyo wa mali za chama.
Sasa CHADEMA ni ruksa kuendelea na shughuli za kisiasa nchini.
Aidha, mahakama imeelekeza kubadilishwa kwa Jaji aliyekuwa akisikiliza shauri hilo, huku kesi ikiendelea kusikilizwa kulingana na taratibu za kisheria.
View attachment 3573052
Soma>> CHADEMA: Mahakama ya Rufaa kusoma uamuzi wa kesi ya Saidi Issa Mohamed leo Aprili 15, 2026
Taarifa zaidi zitafuata.
Nimeona post yako, umeandika kiingereza chepesi hata robo kilo hakifikiWajinga tu ndio watasema kama unavyosema.
Kabisa.....makatili sana hawa majahili.CCM Wahuni sana, wamefanya hivi baada ya kujiweka madarakani