Mahakama ya rufani yairuhusu CHADEMA kuendelea na shughuli za kisiasa nchini

Kwenye hili la Chadema kuruhusiwa kufanya mikutano yake, naamini walioshinda ni CCM, japo sisi ndio tunaoshangilia.

Chadema kuzuiwa kufanya mikutano yao ilikuwa purposely kuwaacha CCM peke yao na vile vyama vyepesi ili "washinde" ule uchaguzi haramu.

Now, CCM wameshajiweka madarakani, Chadema sio tisho te a kwao kwa eakati huu, ndio wameona waiachie iendelee na shughuli zake.

Lakini kwa huu mtindo wa kuporana haki naamini kabisa, bado hii tabia ya kuwasumbua Chadema isivyo halali itaendelea kwa muda mrefu sana ujao.

Lazima ipatikane njia ya kukomesha kabida hii tabia ili Chadema waweze kuendelea na kufikia malengo yao bila kufifishwa kwa njia zozote haramu.
Hilo ndilo CHADEMA itawapasa walifanyie kazi kwa ufundi wote walio nao wakishirikiana na waTanzania wengine wote wanaotaka HAKI ndani ya taifa hili.

"CCM kuwa mshindi"? HAPANA. Kwenye hili sikubaliani nawe.

Kwa hali iliyopo sasa sioni CCM wakiwa na ushindi mahali popote, ndiyo maana njia pekee wanayotumia kila kona ni kutumia mabavu. Ulaghai nao siku hizi haufanyi kazi, kwa sababu waTanzania wanajuwa.
 
Ili CCM "washinde" nikaweka hizo quotation nikiwa na maana tofauti.
 
Mimi ni chadema tena haswaa. Lakini hili sio swala la kufurahia bali tutumie hiyo nafasi kuikomboa nchi. Kwa machale yangu ya haraka huo ni mtego tumepewa watu wajitokeze kukemea mambo wapotezwe. When the deal is too good think twice. La kufanya tupaze sauti kwanza kamanda awe huru then tuikomboe nchi coz najua akitoka kule atakuja na kasi ya kulipiza kisasi kisiasa na hapo tutakua na nguvu moja ya kufanya jambo. Acha nijikonyagitize kwanza
naam
 
Kwa mwandiko mbovu kama huu; wewe ukiwa karibu na CHADEMA tayari hiyo ni hasara kubwa sana kwa chama hicho.
 
Mahakama ya rufani kanda ya Dodoma imetengua maamuzi ya Mahakama kuu yaliyoizua CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa nchini katika kesi iliyofunguliwa na Said Issa na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama na Katibu Mkuu, maarufu kama kesi ya Mgawanyo wa mali za chama.

Sasa CHADEMA ni ruksa kuendelea na shughuli za kisiasa nchini.

Aidha, mahakama imeelekeza kubadilishwa kwa Jaji aliyekuwa akisikiliza shauri hilo, huku kesi ikiendelea kusikilizwa kulingana na taratibu za kisheria.

View attachment 3573052

Soma>> CHADEMA: Mahakama ya Rufaa kusoma uamuzi wa kesi ya Saidi Issa Mohamed leo Aprili 15, 2026

Taarifa zaidi zitafuata.
Ni uduni wa fikra ndio unaotuongoza kuminya upinzani. Upinzani imara unafaida kubwa kwa CCM kuliko hata kwa wapinzani wenyewe. Kunapokosekana chama mbadala hata ndani ya CCM kuoneana kunaongezeka. Hofu ya kushindwa uchaguzi ndio kitu pekee kinachowasukuma wanaoshikilia dola kutenda haki, kuwajibika na kuwaheshimu wanachama wa vyama vyao na wananchi kwa ujumla yao. Ni hatari sana kuwa na viongozi wasio ogopa uchaguzi wala wananchi.
 
Well said.
 
Kwenye hesabu hyo hyo
Majibu ya rounding/approximation hayajawahi kufanana ni kila mtu na rounding yake

Kwenye regression of data, ni mara chache sana majibu kufanana..
Mnaiyogopa chadema mpka mliamia kuifungia.
 
Umeyasema yote kwa usahihi.

Sasa maumivu wataanza kuyasikia wote, hata hao waliokuwa wakiwafanyia kazi.

Huu ni mwanzo wa matumaini. mapya.
Naam, haki imefika na inashinda siku zote.
 
Furaha na Kicheko cha Mpito... kuna Faida gani kama 2029 sept au 2030 Jan CDM mnaenda fungiwa tena kupisha uchaguzi?

acheni kucheka cheka kama maandazi yaliokosa amira,mshapumbazwa mmepumbazika

Komaeni Lissu atoke na Muanze mikakati inayoeleweka ya kuhakikisha ujinga wa hivi haujirudiii

bora MFUTWE KABISA ila muwe mshaacha alama...kuogopa kufutwa ndo hiii inawafanya mkenue kenue saizi na mission ilokua planed.
 
Mh. Nyumbu kwani hao walishtakiwa na serikali?
Si ni nyie manyumbu mlishtakiana
Kwenye mahakama ya ccm na judge ccm siyo? Kwani msajili msaidizi wa vyama vya siasa naye ni nyumbu?
Upo uchi na unajificha kwenye nyasi za uwanja wa mkapa! Chawa mwandamizi utateseka sana safari hii.
 
Mbowe haendi mahakamani ila kwenye dira ya Samuya anahudhuria.
Mpuuzi huyo dalali. Nilijua Mbowe ni mpuuzi fulani baada ya ujio wa Lowassa cdm. Yaani chama serious kabisa kinaokota mgombea mchaf miezi miwili kabla ya uchaguzi?!
 
Furaha na Kicheko cha Mpito... kuna Faida gani kama 2029 sept au 2030 Jan CDM mnaenda fungiwa tena kupisha uchaguzi?

acheni kucheka cheka kama maandazi yaliokosa amira,mshapumbazwa mmepumbazika

Komaeni Lissu atoke na Muanze mikakati inayoeleweka ya kuhakikisha ujinga wa hivi haujirudiii

bora MFUTWE KABISA ila muwe mshaacha alama...kuogopa kufutwa ndo hiii inawafanya mkenue kenue saizi na mission ilokua planed.
Kabisa, yaani sielewi mwanacdm yoyote anayefurahia huu usanii wa kitoto. Inatakiwa watu waonyeshe kuchukja hadi wanaotumia sheria kihuni wajue watu si wajinga tena.
 
CCM Wahuni sana, wamefanya hivi baada ya kujiweka madarakani
Jinsi walivyokuwa wahuni, kwenye ripoti ya Jaji Chande watakuja na uhuni mwingine dhidi ya CHADEMA.
 
Mwenyekiti Lissu naye aachiwe soon, hizi ni hatua za awali kuridhiana kitaifa. Maridhiano ni rahisi sana kufanyika katika njia kama hizi, nchi iko vizuri siasa zikifanyika kwa hoja kwa hoja, sera kwa sera, ndio ujenzi wa demokrasia imara katika mfumo wa vyama vingi
 
Nimegundua awamu ya JK ilitumia akili sana kuuacha upinzani ukue. Gharama ya kutokuwa na upinzani Tanzania ya leo ni kubwa sana kwa chama tawala. Naona kama ni rahisi ccm kusalia madarakani kwa miaka kadhaa mbele kukiwa na upinzani kuliko hili tulilolishuhudia.
 
Mahakama ya rufani kanda ya Dodoma imetengua maamuzi ya Mahakama kuu yaliyoizua CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa nchini katika kesi iliyofunguliwa na Said Issa na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama na Katibu Mkuu, maarufu kama kesi ya Mgawanyo wa mali za chama.

Sasa CHADEMA ni ruksa kuendelea na shughuli za kisiasa nchini.

Aidha, mahakama imeelekeza kubadilishwa kwa Jaji aliyekuwa akisikiliza shauri hilo, huku kesi ikiendelea kusikilizwa kulingana na taratibu za kisheria.

View attachment 3573052

Soma>> CHADEMA: Mahakama ya Rufaa kusoma uamuzi wa kesi ya Saidi Issa Mohamed leo Aprili 15, 2026

Taarifa zaidi zitafuata.
Namwon lissu akiachiliwa bila masharti hii yote ni shinikizo kutoka bunge la ulaya
 
Mahakama ya rufani kanda ya Dodoma imetengua maamuzi ya Mahakama kuu yaliyoizua CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa nchini katika kesi iliyofunguliwa na Said Issa na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama na Katibu Mkuu, maarufu kama kesi ya Mgawanyo wa mali za chama.

Sasa CHADEMA ni ruksa kuendelea na shughuli za kisiasa nchini.

Aidha, mahakama imeelekeza kubadilishwa kwa Jaji aliyekuwa akisikiliza shauri hilo, huku kesi ikiendelea kusikilizwa kulingana na taratibu za kisheria.

View attachment 3573052

Soma>> CHADEMA: Mahakama ya Rufaa kusoma uamuzi wa kesi ya Saidi Issa Mohamed leo Aprili 15, 2026

Taarifa zaidi zitafuata.
Hata sielewi... leo unasikia imeisha, mara unasikia shauri la msingi... ili mradi tu kutuchanganya
 
Back
Top Bottom