Kwa namna mambo yalivyo tokea, haijapata kuwa hivi. Kule si kufanikiwa Katika namna halisi ya kufanikiwa. The situation is not yet settled at all.CCM wamefanikiwa walichotaka, it was calculated move...
Haijatenda haki, umeagizwa na muuaji wawaachie cdm maana lengo ilikuwa ni kuizuia cdm ili ccm isipate ushindani wa kweli kwenye uchaguzi. Haya maamuzi sio ya kushangilia kwa anayejia haki, bali ni ya kuipuuza mahakama kwa kutumikia siasa chafu.Vp kwa sasa mahakama imetenda haki?
Karibuni uwanjani
Imesikiliza maelekezo toka juu kuwa waifingulie cdm ili ripoti ya tume ya mchongo itolewe. Yaani upuuzi mtupu.Kwa hyo leo mahakama haijasikiliza maelekezo kutoka juu?
Issue ilikuwa ni kwamba wazuie movement ya No reforms No election Kisha ...baada ya kumaliza Uchaguzi ndio wafungue....Kwa namna mambo yalivyo tokea, haijapata kuwa hivi. Kule si kufanikiwa Katika namna halisi ya kufanikiwa. The situation is not yet settled at all.
Mbowe haendi mahakamani ila kwenye dira ya Samuya anahudhuria.Bila kumsahau dalali Sultan Freeman Aikaeli Mbowe
Walichopanga kimetimia, hiyo ndio plan yao.Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Maalekezo kutoka juu ndo hayo, mahakama za Tanzania hizifanyi maamuzi hasa kwenye mashauri ya kisiasa bila maelekezo.Kwa hyo leo mahakama haijasikiliza maelekezo kutoka juu?
Acha Ujinga Dogo.Taarifa mbaya sana hii kwa maccm na vibaraka wao.
Umeyasema yote kwa usahihi.Kibaka Yericko Nyerere una hali gani huko ulipo na vidampa wenzio?
Vipi Mchome kimada wa msajiliccm amefurushwa kunako nyumba aliyokodishiwa na msajiliccm?
Hili lilikua zuio haramu na kila mwenye akili alilijua hili mahakama haistahili kupongezwa kwa chochote.
Mbowe haendi mahakamani ila kwenye dira ya Samuya anahudhuria.
PICHA HII HUYU DOGO MIAKA ISHIRINI IJAYO...
OOOOoooh My God!
Maneno mazito sana haya, lakini CHADEMA watalaumiwa vipi katika hali iliyopo sasa. Mwenyekiti wao yupo gerezani kwa kesi isiyokuwa na miguu; akiachiwa kesho bila ya masharti CHADEMA na waTanzania kwa ujumla wasifurahi (siyo kushukuru)?Hii tabia ya kushangilia haki yako uliyonyan'ganywa unaporudishiwa haifai, inatuonesha tulivyo dhaifu na wanavyoweza kutuchezea kila wakitaka.
Kwenye hili la Chadema kuruhusiwa kufanya mikutano yake, naamini walioshinda ni CCM, japo sisi ndio tunaoshangilia.Maneno mazito sana haya, lakini CHADEMA watalaumiwa vipi katika hali iliyopo sasa. Mwenyekiti wao yupo gerezani kwa kesi isiyokuwa na miguu; akiachiwa kesho bila ya masharti CHADEMA na waTanzania kwa ujumla wasifurahi (siyo kushukuru)?
Watu wameuliwa hapa kikatili kabisa bila ya sababu ; hawa watu waliopo madarakani siyo watu 'rational'; huwezi kufanya nao jambo lolote mkaaminiana.
Kwa hiyo; kwa kila fursa ndogo inayofungua milango ili njia za kuwabana waovu zipatikane, ni hatua ya kutia matumaini.
Haijalishi, sababu yoyote iliyofanya waruhusu chama kufanya shughuli zake; ni kwa hao waliopata mwanya huo kuutumia vizuri kuleta mabadiliko chanya. Hili ndilo la msingi hapa.
Usiumie sana mh. Chawa. Ilikuwa ni lazima muachie tu.Vp kwa sasa mahakama imetenda haki?
Karibuni uwanjani