Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
CCM Wahuni sana, wamefanya hivi baada ya kujiweka madarakani
Watu wabaya Sana😄😄
Alafu ikifika 2029/30 wanapigwa kamba tena
CCM Wahuni sana, wamefanya hivi baada ya kujiweka madarakani
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
usiwe kama hukwenda shule, kama katika normal /natural mathematics mtu anasema 1+1=3, lazima tuseme kuwa hiyo siyo kweli. Ndicho kinachofanywa na mahakama. Leo kweli 1+1=2.... hii ndiyo sahihi! tutalisema kuwa imetenda haki!Vp kwa sasa mahakama imetenda haki?
Karibuni uwanjani
Tanzania banaMahakama ya rufani kanda ya Dodoma imetengua maamuzi ya Mahakama kuu yaliyoizua CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa nchini katika kesi iliyofunguliwa na Said Issa na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama na Katibu Mkuu, maarufu kama kesi ya Mgawanyo wa mali za chama.
Sasa CHADEMA ni ruksa kuendelea na shughuli za kisiasa nchini.
Aidha, mahakama imeelekeza kubadilishwa kwa Jaji aliyekuwa akisikiliza shauri hilo, huku kesi ikiendelea kusikilizwa kulingana na taratibu za kisheria.
View attachment 3573052
Soma>> CHADEMA: Mahakama ya Rufaa kusoma uamuzi wa kesi ya Saidi Issa Mohamed leo Aprili 15, 2026
Taarifa zaidi zitafuata.
Hayo ni mawazo yakoShetani na Mungu ni mhusika mmoja kama shilingi na pande zake
Kamuulize mamako huko lumumbaVp kwa sasa mahakama imetenda haki?
Karibuni uwanjani
Naona Mahakama inaanza kuyakataa maelekezo kutoka juuTaarifa zaidi zitafuata.
Lumumba and Nassoro Katuga are typing......Mahakama ya rufani kanda ya Dodoma imetengua maamuzi ya Mahakama kuu yaliyoizua CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa nchini katika kesi iliyofunguliwa na Said Issa na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama na Katibu Mkuu, maarufu kama kesi ya Mgawanyo wa mali za chama.