Mimi sikuwahi kumuunga mkono fisadi Lowassa kwangu atabaki kama fisadi na ile move sikuiunga mkono.Mpuuzi huyo dalali. Nilijua Mbowe ni mpuuzi fulani baada ya ujio wa Lowassa cdm. Yaani chama serious kabisa kinaokota mgombea mchaf miezi miwili kabla ya uchaguzi?!
Hatuwezi mchana kusema hivi halafu usiku tunasema hivi.