LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,213
- 14,925
Hapo kunadilisha jaji wame muonea aibu mwenzao maana hata hayo madai ni upuuziMahakama ya rufani kanda ya Dodoma imetengua maamuzi ya Mahakama kuu yaliyoizua CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa nchini katika kesi iliyofunguliwa na Said Issa na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama na Katibu Mkuu, maarufu kama kesi ya Mgawanyo wa mali za chama.
Sasa CHADEMA ni ruksa kuendelea na shughuli za kisiasa nchini.
Aidha, mahakama imeelekeza kubadilishwa kwa Jaji aliyekuwa akisikiliza shauri hilo, huku kesi ikiendelea kusikilizwa kulingana na taratibu za kisheria.
View attachment 3573052
Soma>> CHADEMA: Mahakama ya Rufaa kusoma uamuzi wa kesi ya Saidi Issa Mohamed leo Aprili 15, 2026
Taarifa zaidi zitafuata.