Mahakama ya Tanzania inatukera watanzania

Uko sick sana mkichwa!
 
Weka kifungu cha katiba kilichofunjwa vinginevyo acha kelele!
 
Weka kifungu cha katiba kilichofunjwa vinginevyo acha kelele!
Sisi watanzania tunachojua ni kwamba kuna watu walisema kama Katiba haitafanyiwa mabadiliko hakutakuwa na uchajuzi. Watanzania wamewasikia, imewaona na inawafahamu.

Sisi watanzania tunachokifahamu ni kwamba kuna watu walisema wataasi na kweli siku ambayo askari wengi walikuwa kwenye zoezi la uchaguzi nchi nzima wao wakaanzisha uasi nchi nzima wakijua askari waliopo nchini wasingetosha kufanya kazi mbili kubwa kwa wakati mmoja; yaani uchaguzi nchi nzima na kuzima vurugu/uasi nchi nzima. Utanataka kusema Mahakama hawaioni hii DHAMIRA ovu ya wafanya vurugu?, Yaani ilikuwa ama uchaguzi ukose ulinzi ili wachome masanduku ya kura kwa urahisi au nchi ikose ulinzi waiangushe ili wafanikishe ama kuzuia uchaguzi au kuichoma nchi nzima bila kuzuizi. Vitendo Vyote hivi viwili vilikuwa vinalenga kuiangusha serikali. Yaasi uchaguzi usifanyike ili nchi ikose viongozi halali kikatiba au serikali iliyopo ianguke. Vitendo vyote vina harufu ya jinai na uhaini.

Mahakama inababaishwaje na technicalities za kijinga wakati maneno yao yalizaa vitendo?

Sisi watanzania tunaendelea kuishangaa mahakama yetu kuendelea kutumia rasilimali nyingine kwa vitu ambavyo ni too obvious!!
 
Sisi na nani? Jifunze kusemea nafsi yako na epuka kusemea wasiokutuma.
Kubali kuwa unaandika takataka hapa na huenda hujui lolote kuhusu sheeia, katiba na mahakama. Nakudharau kuanzia saa hii kisha naku - ignore ukaungane na kina tillalillah huku mvunguni!
 
Sisi watanzani, taifa, wengi na tusiokuwa na idadi ambao tumeiweka serikali, bunge na mahakama ili vituhudumie sisi kisiasa, kiuchumi na kijamii. Nyie mlipokuwa mnadai Katiba lazima ibadilishwe ndio mshiriki uchaguzi mlikuwa mko wangapi? Nani kawatuma mtuwakilishe na kutusemea? Tulikutana wapi tukawapa hiyo mandate? Mnaleta vuzo aloo.

Tunaomba mahakama yetu isitukere sisi watanzania kwa kuzubaishwa na technicalities za wahuni walioichoma miundombinu yetu na mali zetu sisi watanzania.
 
Kwenye hiyo "sisi" nyie kakundi mliochoma mali zetu hammo definetely.

Kama mahakama ya Tanzania hailindi mali za Tanzania na watanzznia zisichomwe moto inataka kulinda nini? Kuna haja gani kodi zetu kutumika kuwalipa Majaji na mahakimu? Yaani tuwahudumie sisi halafu haki wawape watu 3 dhidi ya taifa lote. Itakuwa mahakama ya wapi hiyo?

Mahakama inataka kusema kuwa na hasira na madai ni kinga kwenye kutenda makosa ya jinai? Yaani kama nina hasira au nimechokozwa naruhusiwa kumpiga ngumi Jaji, kuchoma moto sheli au vituo cha polisi?
 
🚮🚮🚮🗑️💩🤮
 
Asante Mungu Jaji Mkuu ameusoma uzi huu. Majaji achaneni na chengachenga za kiufundi wakati kweli nchi imeunguzwa hata kwa macho kila mtu ameona. Mtu kapanga uchomoji halafu anafanya janjajanja ya kukamatwa ili aseme sikushiriki maana nilikuwa mahabusu.

Hebu msikilize Jaji mkuu hapa.

View: https://youtu.be/5kmSUIxxrdE?si=lBIQzIrBu5KWjzED
 
Weka kifungu cha katiba kilichofunjwa vinginevyo acha kelele!
Uongozi wa miaka 5: Kuzuia/kuharibu uchaguzi Mkuu ambao unatupatia viongozi wa nchi kila baada ya miaka 5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…