Mahakama ya Uhujumu Uchumi: Mvutano mkali kesi ya Mbowe na wenzake. Hatma ya kesi kujulikana Septemba 6

Mahakama ya Uhujumu Uchumi: Mvutano mkali kesi ya Mbowe na wenzake. Hatma ya kesi kujulikana Septemba 6

Updates; Kibatala anasema Muandaaji alikuwa na hila. Muandaji alikuwa anainajisi sheria. Mheshimiwa Jaji tunarudia tena Maombi yetu kuwa Hmhati ya Mashtaka ni BATILI kwa namna hiyo na tunaomba mashtaka yatupiliwe Mbali. Wakili Kibatala anakaa chini kwa UTULIVU.
👍 safi kabisa hoja hii kisheria.
 
Binafsi mimi siyo Mwanasheria lakini Wanasheria wa Serikali wanatakiwa wajipange sana.
 
Mahakama zetu bado hazijaondokana na ukoloni wa Lugha ya kizungu, sijui nani tena atakuja kuuondoa huu ukoloni ambao kimsingi umekuwa kama "ulaji" kwa wanao kitumikia na kukiabudu kizungu...
Unaelewa sheria za TANZANIA chanzo chake ni wapi au unaandika kwa kutumia mihemko?
 
Mbona umekaa kimipasho sana!!?
That is a proffesional work hakuna udhalilishaji
ni submission tu......
sasa ngoja j3 mbagazwe alafu sijui kama utatumia hilo neno udhalilishaji
Vipi mawakili wenu umepata kuwasikia ?Comment chochote kuhusu wao !!Ukimaliza kachukue 7000 yako
 
Hizi Kesi ni kama vile huwa zinafunguliwa ili mawakili wa serikali wapigwe msasa na wenzao wa private... Leo walipewa darasa safi sana namna ya kufungua kesi na namna ya kuandaa charge sheet.

Ni wazi, serikali haina tena uwezo wa kuwaghalimia shule za maana mawakili wao ndio maana wanaleta hizi kesi kengekenge waje kupatiapo kauzoefu.

Ajabu sana - canal knowlege ni Tigo kwa maana nyingine -kisheria na kumla mtu Tigo hairuhusiwi... au mawakili wasomi hawajui hilo- ndio maana wanamkera sana Sub woffer kule Bungeni....
 
Back
Top Bottom