Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) yamuumbua Msemaji wa Yanga SC Haji Manara na Kiherehere chake na Kudemka Kwake

kuwa na akiba ya maneno mwanzo ulituamisha hakuna kesi leo tena unatupa tarehe ya hukumu tushike lipi tusikilize lipi hukumu ipo au hakuna kesi tuanze kuagiza vitu vyetu
 
kuwa na akiba ya maneno mwanzo ulituamisha hakuna kesi leo tena unatupa tarehe ya hukumu tushike lipi tusikilize lipi hukumu ipo au hakuna kesi tuanze kuagiza vitu vyetu
Hukumu imesogezwa tarehe mbele, mwezi huu huu lakini.

Hata kwenye mahakama zetu za kawaida hayo huwa yanatokea kusogeza mbele tarehe ni kitu cha kawaida sana.
 
Manara anawatesa sana kila kukicha hamchoki kumzungumzia Manara . Wivu unawasumbua anapata mshahara mil.9.8 kule alikuwa anapewa Posho Shilingi laki 7.Aidha amepewa gari ya kutembelea Land cruiser Mpya
Hii mada inamuhusu Manara ndio maana watu wanamjadili huyo Manara,halafu sio kila anayechangia hii mada basi ni shabiki wa Simba,acha kukariri.
 
Hata wewe nyani/nguruwe poli UNADEMKA

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Manara anawatesa sana kila kukicha hamchoki kumzungumzia Manara . Wivu unawasumbua anapata mshahara mil.9.8 kule alikuwa anapewa Posho Shilingi laki 7.Aidha amepewa gari ya kutembelea Land cruiser Mpya

Kapewa na mabodigadi wa kumlinda simba hakupewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utopolo ni shida isiyo na utatuzi
 
[emoji3][emoji3][emoji38][emoji38]
 
Shida ya kuhisi unalipwa usichostahili. Unaweza kujikuta hata unaenda kusafisha vyoo vya ofisi, ili mradi uwe bize tu na anayekulipa akuone unafanya kazi fulani.

Ni wa kuomuonea huruma tu.
 
Utopolo walidhani kumsajili haji manara wataanza kuwa mabingwa[emoji16][emoji16][emoji38][emoji38]

Wanakamuliwa nje ndani kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…