Mahakama yaamuru aliyetolewa kwenye kundi la WhatsApp bila ridhaa yake arejeshwe

Mahakama yaamuru aliyetolewa kwenye kundi la WhatsApp bila ridhaa yake arejeshwe

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Mahakama ya Jijini Kampala imetoa agizo kwa msimamizi wa kikundi cha WhatsApp (Admin), Allan Asinguza, kumrudisha tena mwanachama, Bwana Herbert Baitwababo, ambaye inasemekana aliondolewa bila ridhaa yake.

Hakimu wa Mahakama ya Makindye, Bwana Igga Adiru, amemuagiza bwana Allan Asinguza, ambaye ni mlalamikiwaji katika kesi hiyo, amrudishe Bwana Herbert Baitwababo katika kikundi cha WhatsApp kinachoitwa "BUYANJA ROOTS", ambacho alikuwa mwanachama kabla ya kuondolewa.

"Agizo la zuio la kudumu limetolewa likizuia mlalamikiwa, mawakala wake au wakilishi wake kufanya ukiukaji zaidi wa haki ya ushirikiano ya mlalamishi. Hakuna maagizo kuhusu gharama," Bwana Adiru aliamua na mlalamikiwa hakuwepo mahakamani.

20230621_225334.jpg

---

A court in Kampala has ordered a local group administrator of popular centralized instant messaging and voice US app, WhatsApp to reinstate a member who was reportedly ejected without his consent.

The Acting Senior Grade One Magistrate at Makindye Magistrate’s Court in Kampala, Mr Igga Adiru on Monday ordered Allan Asinguza who is the respondent in the case to add back Mr Herbert Baitwababo to “BUYANJA ROOTS” Whatsapp group on which he was a member before.

“A permanent injunction doth issue restraining the respondent, his agents and or his assignees from further infringing on the applicant’s right of association. No orders as to costs,” Mr Adiru ruled in the absence of the respondent.

Mr Baitwababo in support of his application had stated that Mr Asinguza created a WhatsApp group for people from Buyanja Sub-county, which was named as ‘BUYANJA MY ROOTS’ whose purpose was for social contribution towards charity works, condolences, support to calamity victims.

“As members of the said WhatsApp groups, we developed an idea of starting an association and agreed that one had to pay Shs30,000 only, to subscribe for the membership and as such, I fully registered,” reads in part Mr Baitwababo’s affidavit.

“All communication and matters concerning the association was conveyed through the WhatsApp group,” he added.

Mr Baitwababo further narrated that on May 16, 2023 as a registered member of the aforesaid association, he wrote a letter to Mr Asinguza demanding him to avail the instrument that mandates them to manage the affairs of the group, an audit report and accountability for the monies collected from the registered members since the year 2017 when it was formed.

He states that as the consequence of the letter, Mr Asinguza instead ejected him from the WhatsApp group on May 17 thus his (Asinguza’s) actions were calculated to infringe on his (Baitwababo) right to association and to unjustly enrich themselves.
 
Sasa walimrudisha wakampa uadmini wahuni wote wakaleft akabaki mwenyewe....jamaa wakaunda kundi lingine
 
Dah hizi kesi, wakati nasoma kuna kesi nilikuwa naziona za kijinga sasa ndo najua umuhimu wake.

Bado wale wanao block bila kutoa taarifa, zamu yenu sasa.
 
Mr Baitwababo further narrated that on May 16, 2023 as a registered member of the aforesaid association, he wrote a letter to Mr Asinguza demanding him to avail the instrument that mandates them to manage the affairs of the group, an audit report and accountability for the monies collected from the registered members since the year 2017 when it was formed.

......
Hii case ilianzia hapa kwenye hii barua aloandika bwana Baitwababo kuhusu mambo ya hela pamoja na ripoti ya michango. Hapa pia kuna lakujifunza watu wenye madaraka huwa hawawataki wakosoaji/ wafualiaji wa mambo kwenye jamii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado natafuta hela nikizipata hapa Tanzania mahakimu na majaji watanikoma nataka nitumie huo mfumo kuitangazia Tanzania kuwa kila kitu kina haki yake kwa mtu yeyote .

Nitaanza na jamaa mmoja alinipiga kibao nikiwa Segerea ndani yaani mfungwa mwenzangu kisa ni kuwa nilitembelewa na watu ambao yeye aliona wana hela walipoondoka akanizaba eti naringa kisa nina watu wazito nje .

Uzuri ni kuwa nilimkariri na pia najua ni lini anatoka ndani lakini good enough ni kuwa alinipiga mbele ya wafungwa wenzangu na wao waliona kila kitu na majina yao ninayo na nilipowagusia kuhusu kushitaki walisema itakuwa vizuri maana atanilipa

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Safi, afadhali Uganda naona Mahakama zinatimiza wajibu wao vizuri.
 
We ni mnyonge mnyonge kwani?
 
Back
Top Bottom