Hii video ilinifanya nilitafakar sana hili jamaa nilihis hata akil zake ztakuwa hazpo sawa.Hapa ni kabla sponsor wa vitendo vya kihalifu na kuchafua watu majina hajafa๐๐๐
View attachment 1989469
Apitishe tozo kwenye serikali ya mungu wake.Sasa atazitoa wapi hizo bilioni nyau huyo
Bado Tibaijuka naye alipewa tuzo alipwe 80m. Huyu wadai waombe afungwe miaka kadhaa na wamlipie gharama za jela (civil prisoner)Kwa hiyo huyu mwamba kwa sasa ana madeni yapatayo 13bilion! Manake kule kuna shangazi Fatuma alipata tuzo ya 7b na huku Membe 6b. Nadhani sasa Musiba ni raia anayedaiwa madeni makubwa kuliko raia yeyote hapa nchini na anastahili sifa ya Highly Indebted Poor Person (HIPC).
Unapo kazi a hukumu kuna option Tatu. Ya kwanza mdaiwa alipe mwenyewe ya pili kukamata Mali zake na kunadi na ya Tatu kumuweka ndani kama mfungwa wa madai mpaka atakapo Lipa. Thus hio option ya kumuweka ndani ipo kwenye kesi zote 2
Hapa ndio naona maajabuJe unapomuweka ndani jela mdaiwa kwenye hiyo option , mdai ndio anamgharamia mfungwa?
Ni dhahiri hataweza kulipa hiyo faini, kwa hiyo itakuwaje? Wanasheria hebu saidieni
Kwa hiyo huyu mwamba kwa sasa ana madeni yapatayo 13bilion! Manake kule kuna shangazi Fatuma alipata tuzo ya 7b na huku Membe 6b. Nadhani sasa Musiba ni raia anayedaiwa madeni makubwa kuliko raia yeyote hapa nchini na anastahili sifa ya Highly Indebted Poor Person (HIPC).
Ala, kwa hiyo mahakama imekosea au? Mh.mwanasheria msomi hebu tuambia kitatokea nn iwapo hatoweza kuwalipa?Musiba ni kichwa hao wanafurahisha genge tu...hawapati hata sh kumi yake na jela hakai... jifunzeni sheria bavicha msipende sna kuwkea nguvu kwenye povu
Wala wasimfunge.Wafilisi mali zote na deni halitoisha wanasubiri kila akipata mali nyingi e wanachukua tena.Ili huyu Musiba maskini wa fikra abaki maskini wa kipato maisha.Na msiba wake hakika hautoisha.Au ajishushe awaombe msamaha wahusika na uma wa Wa Tanzania tulochikizwa na wazimu wake.Mfilisi huyo mjinga mpenda sifa asiyejitambua
Ni dhahiri hataweza kulipa hiyo faini, kwa hiyo itakuwaje? wanasheria hebu saidieni
Yani hukumu kama huzi huwa za kisiasa sanaMahakama kuu ya Tanzania imetoa hukumu ya kesi ya kuchafuliwa jina iliyokuwa ikimkabili mkurugenzi mkuu wa gazeti la Tanzanite na mwanaharakati huru, ndugu Musiba dhidi ya aliyekuwa Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na mgombea Urais kupitia ACT-Wazalendo, ndugu Bernard Membe. Mahakama hiyo imemtaka Musiba kulipa kiasi hicho cha pesa.
==========
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemuamuru mwanahabari anayejitambulisha kama mwanaharakati huru, Cyprian Musiba kumlipa fidia ya Sh6 bilioni aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje katika Serikali ya Awamu ya Nne, Bernard Membe.
Hukumu hiyo imetolewa leo Alhamisi Oktoba 28,2021 na Jaji Joacquine De Mello aliyeisikiliza kesi hiyo.
Katika hukumu hiyo Musiba ametakiwa kumlipa Membe kiasi hicho cha fedha pamoja na gharama zote za uendeshaji wa kesi kwa zaidi ya miaka miwili.
Pia imeweka zuio la kudumu kwa Musiba la kutokumkashifu Membe au kusema uongo dhidi yake.
Mwananchi
Pia, soma=> Benard Membe: Musiba hasimami tena na kujifanya yeye ni Mungu Mtu. Huko uliko naomba hela zangu
Hapo ni mambo ya kisiasa tuNi dhahiri hataweza kulipa hiyo faini, kwa hiyo itakuwaje? Wanasheria hebu saidieni
Thubutuuu haitambui mahakama yeye kama nani?! La msingi hapa ni yeye kuwa mpole na pengine kuomba msamaha. Sijui katika hali hii akiomba msamaha kuna tija yoyote. Nifahamisheni wakuuAtakwambia haitambui hiyo mahakama....